Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli wa Israeli ya zamani akamshushia Nabii Samweli na baadae Nabii Daudi. Hawa watumishi wote lengo ni kulikomboa Taifa na watu wake kwa nyakati hizo.
Jana nimesikiliza Mawazô, maoni, maombi na dua anazoliombea Tanzania Nabii Denis Samweli nilimwagika machozi. Nilihuzunika sana.
Huzuni hio iliambatana na matumaini kwamba Taifa letu la Tanzania soon inabii unaenda kutimia. Litakombolewa.
Nabii Denisi anasema shida ya Tanzania sio CCM wala Chadema , hapana. Shida ni Watu. Watu wakipona shida zitaisha.
Nabii ametoa mifano mingi jinsi watanzania wanavyoishi maisha ya shida sana huko mikoani, huku Nchi yao imejaa rasilimali nyingi.
Akatoa mfano hivi Waziri Mkuu na Watoto wake wana tofauti gani na sisi. Sote si binadamu na tuna mwili na nyama? Kwanini mmoja alindwe, apewe kila kitu na serikali na mwingine anyimwe? Mifano ikawa mingi.
Video clip nimeambatanisha.
Tuliombee Taifa letu Tanzania.
Asalaam Aleykum
View: https://youtu.be/Re0zIoXmwBM?si=p_HypC6JMWa-i5et