Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Hubiri neno la Mungu sio watu au nchi au unachowaza
Neno la Mungu huwahusu watu, nchi, nk. Mungu hutumia mawazo ya watu kulileta wazo lake.wazo la Mungu hupitia katika mawazo ya watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hubiri neno la Mungu sio watu au nchi au unachowaza
shupazeni shingo, jioneni miungu -watu, nusu mlingoti soonAlichohubiri hakuna neno la Mungu hata moja hapo anahubiri tu hisia na mawazo yake tu
Hakuna nabii hapo
HeheheUkimaliza kutoa machozi utuambie, huyo anayekwenda kuikomboa Tanzania kwa mujibu wa Nabii Huyo, ni nani?
Tena siku hizi dunia imerahishiswa kupata akili hautaji kuingia darasani kupoteza mda kukariri.Tatizo la Tanzania sio CCM wala CHADEMA,
tatizo ni raia wake kutokujitambua, kwani wanawajibu mkubwa wa kulilinda taifa na rasilimali zake kwa ujumla.
Halafu unaweza kukuta anaongea hivyo, huku nyuma yake ana mabaunsa! Kwani akitembea bila baunsa kama Joti itakuwaje? Ahahahahaha!!Kwa nini alichagua mfano huu?? Hakuona mifano mingine ya kutumia kojenga hoja yake?
shupazeni shingo, jioneni miungu -watu, nusu mlingoti soon
hizi ishu sio za kisiasa, ni swala la haki kutendeka! Wewe huwa unaufurahia udhalimu?Hakuna nabii hapo kuna mwanachama tu wa Chadema aliyejaa mambo ya Chadema kichwani kwake
Unabii umeingiliwa na wahuni akiwemo huyu anayejiita nabii Denis
Biblia inakataa kutumia bure jina la Mungu
Narudia hakuna nabii hapo
Kuna watu walishabadilishwa kitambo... Machoni kama watu lakini nyuma ya pazia ni mashetani...!Ccm haina shetani bali watu ndio wako ndani ya ccm
Kwasababu ni mfano Hai.Kwa nini alichagua mfano huu?? Hakuona mifano mingine ya kutumia kojenga hoja yake?
Pigo kwa MAFISADI ni pigo takatifu.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu ,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu .
Kwa sababu kataja neno haki mashetani mnaumia,adhabu ya Mungu ipo kwa watenda maovu wote.Hakuna nabii hapo kuna mwanachama tu wa Chadema aliyejaa mambo ya Chadema kichwani kwake
Unabii umeingiliwa na wahuni akiwemo huyu anayejiita nabii Denis
Biblia inakataa kutumia bure jina la Mungu
Narudia hakuna nabii hapo
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli wa Israeli ya zamani akamshushia Nabii Samweli na baadae Nabii Daudi. Hawa watumishi wote lengo ni kulikomboa Taifa na watu wake kwa nyakati hizo.
Jana nimesikiliza Mawazô, maoni, maombi na dua anazoliombea Tanzania Nabii Denis Samweli nilimwagika machozi. Nilihuzunika sana.
Huzuni hio iliambatana na matumaini kwamba Taifa letu la Tanzania soon inabii unaenda kutimia. Litakombolewa.
Nabii Denisi anasema shida ya Tanzania sio CCM wala Chadema , hapana. Shida ni Watu. Watu wakipona shida zitaisha.
Nabii ametoa mifano mingi jinsi watanzania wanavyoishi maisha ya shida sana huko mikoani, huku Nchi yao imejaa rasilimali nyingi.
Akatoa mfano hivi Waziri Mkuu na Watoto wake wana tofauti gani na sisi. Sote si binadamu na tuna mwili na nyama? Kwanini mmoja alindwe, apewe kila kitu na serikali na mwingine anyimwe? Mifano ikawa mingi.
Video clip nimeambatanisha.
Tuliombee Taifa letu Tanzania.
Asalaam Aleykum
View: https://youtu.be/Re0zIoXmwBM?si=p_HypC6JMWa-i5et