Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Wanasiasa wote upinzani au tawala ni wezi tu njaa pekee ndo uwasukuma na sio wito kama walivyokuwa wapigania uhuru walipigania njaa zao na sio zetu thus hata baada ya uhuru tu masikini zaidi
 
Tatizo la Tanzania sio CCM wala CHADEMA,
tatizo ni raia wake kutokujitambua, kwani wanawajibu mkubwa wa kulilinda taifa na rasilimali zake kwa ujumla.
Tena siku hizi dunia imerahishiswa kupata akili hautaji kuingia darasani kupoteza mda kukariri.
Pana google Pana AI kibao unatap tu maarifa unayageuza kuwa skills tu za kuyabadili mazingira yako unaziona fursa unabadili maisha yako kwa maana umasikini ni ugonjwa wa akili.
 
Duniani kote ambako watawala hulazimika kutii matakwa ya wananchi ni kwa sababu wamelazimishwa iwe hivyo. Kwetu watu wanaiacha CCM ifanye uharamia wote, wakisubiria siku moja CCM ibadilike kuwa malaika!! Hizo ni ndoto za mwendawazimu. Hakika tatizo ni wananchi. Nchi kila siku inazalisha machawa punguani, mabadiliko yatatoka wapi? Fikiria machawa ambayo yamepoteza mpaka kumbukumbu za kushindwa kutambua hata mama zao, yamebakia kujpendekeza kwa Samia kuwa ni mama yao, wakati Samia ana watoto wake!! Sasa unatarajia majitu kama hayo yanaweza kufikiria ustawi wa Taifa??
 
Hakuna nabii hapo kuna mwanachama tu wa Chadema aliyejaa mambo ya Chadema kichwani kwake
Unabii umeingiliwa na wahuni akiwemo huyu anayejiita nabii Denis

Biblia inakataa kutumia bure jina la Mungu

Narudia hakuna nabii hapo
hizi ishu sio za kisiasa, ni swala la haki kutendeka! Wewe huwa unaufurahia udhalimu?
 
Hakuna nabii hapo kuna mwanachama tu wa Chadema aliyejaa mambo ya Chadema kichwani kwake
Unabii umeingiliwa na wahuni akiwemo huyu anayejiita nabii Denis

Biblia inakataa kutumia bure jina la Mungu

Narudia hakuna nabii hapo
Kwa sababu kataja neno haki mashetani mnaumia,adhabu ya Mungu ipo kwa watenda maovu wote.
 
Waarabu wanakuhusu nini, acha kujipendekeza, mbona huzungumzii Afrika amemshusha nani kuwasaidia, na Congo nani ataisaidia?
 
Chanzo cha haya yote ni imani zetu kubwa 3..Ukristo, uislamu na upagani..hizi mbili za mwisho ni imani za miungu zinazoishi kwa kafara..kila nchi inapokuwa na kiongozi muislamu..nchi huwa na misuko suko mingi, imani inaamini katika kafara, umwinyi(ubwana mkubwa) na utegemezi..bahati mbaya watu wa imani hii wameiteka ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…