CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
NABII??????
DU!!!
DU!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli wa Israeli ya zamani akamshushia Nabii Samweli na baadae Nabii Daudi. Hawa watumishi wote lengo ni kulikomboa Taifa na watu wake kwa nyakati hizo.
Jana nimesikiliza Mawazô, maoni, maombi na dua anazoliombea Tanzania Nabii Denis Samweli nilimwagika machozi. Nilihuzunika sana.
Huzuni hio iliambatana na matumaini kwamba Taifa letu la Tanzania soon inabii unaenda kutimia. Litakombolewa.
Nabii Denisi anasema shida ya Tanzania sio CCM wala Chadema , hapana. Shida ni Watu. Watu wakipona shida zitaisha.
Nabii ametoa mifano mingi jinsi watanzania wanavyoishi maisha ya shida sana huko mikoani, huku Nchi yao imejaa rasilimali nyingi.
Akatoa mfano hivi Waziri Mkuu na Watoto wake wana tofauti gani na sisi. Sote si binadamu na tuna mwili na nyama? Kwanini mmoja alindwe, apewe kila kitu na serikali na mwingine anyimwe? Mifano ikawa mingi.
Video clip nimeambatanisha.
Tuliombee Taifa letu Tanzania.
Asalaam Aleykum
View: https://youtu.be/Re0zIoXmwBM?si=p_HypC6JMWa-i5et
Tena sanaKumekucha
OuiNABII??????
DU!!!
Mkuu kiki gani hapo? Amekwambia anagombea?Anatafuta Kiki tuu, awaambie sadaka zenu anapeleka wapi
DuuhHuyo sio nabii!ni mtu wa mfumo anaetuandaa na matakwa fulani au mambo Fulani kama option ya kufeli Kwa malengo mengine!!
Mchungaji huyu utashangaa kafutiwa vibari na kurudishwa kwao Congo sababu anaanza kuamsha Maiti zinazotembeaHubiri neno la Mungu sio watu au nchi au unachowaza
Sio Mkongo ni Mtz. Ni Mchungaji Mtumishi wa Kweli wa Mungu.Mchungaji huyu utashangaa kafutiwa vibari na kurudishwa kwao Congo sababu anaanza kuamsha Maiti zinazotembea
Usishangae sana kuna Maiti nyingi zinazotembea ukitaka kuziona wahi maeneo ya mtaa wa Congo na Azikiwe Msimbazi mpaka Mnazi Mmoja Posta Mpya Posta ya Zamani Fire Kinondoni Kanisani mpaka Mkwajuni Madaraja yote ya Flyover Vituo vya daladala Vituo vya mwendokasi Masoko yote tembelea Maduka ya Mjini, utakuta kuna Maiti nyingi zimelalaDuuh
Ndio kwa sababu haendi na Serikali watamtengenezea Zwengwe lolote tu ili asiziamshe hizi Maiti zilizolala Maiti zimelala usingizi wa KifoSio Mkongo ni Mtz. Ni Mchungaji Mtumishi wa Kweli wa Mungu.
Una manisha nini Mkuu?Usishangae sana kuna Maiti nyingi zinazotembea ukitaka kuziona wahi maeneo ya mtaa wa Congo na Azikiwe Msimbazi mpaka Mnazi Mmoja Posta Mpya Posta ya Zamani Fire Kinondoni Kanisani mpaka Mkwajuni Madaraja yote ya Flyover Vituo vya daladala Vituo vya mwendokasi Masoko yote tembelea Maduka ya Mjini, utakuta kuna Maiti nyingi zimelala
HahahahaNdio kwa sababu haendi na Serikali watamtengenezea Zwengwe lolote tu ili asiziamshe hizi Maiti zilizolala Maiti zimelala usingizi wa Kifo
Maiti zimelala nyingi sana hapo aanachouliza Maiti nyingi haziwezi kuelewa sababu bado zipo usingizini, hayo maeneo nimekutajia ndio ukienda utakutana na ninachokwambia Maiti nyingi zipo maeneo hayo au nikuongezee maeneo mengine ya kwenda kuonana na Maiti zinazotembeaUna manisha nini Mkuu?
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu.
Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah.
Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli wa Israeli ya zamani akamshushia Nabii Samweli na baadae Nabii Daudi. Hawa watumishi wote lengo ni kulikomboa Taifa na watu wake kwa nyakati hizo.
Jana nimesikiliza Mawazô, maoni, maombi na dua anazoliombea Tanzania Nabii Denis Samweli nilimwagika machozi. Nilihuzunika sana.
Huzuni hio iliambatana na matumaini kwamba Taifa letu la Tanzania soon inabii unaenda kutimia. Litakombolewa.
Nabii Denisi anasema shida ya Tanzania sio CCM wala Chadema , hapana. Shida ni Watu. Watu wakipona shida zitaisha.
Nabii ametoa mifano mingi jinsi watanzania wanavyoishi maisha ya shida sana huko mikoani, huku Nchi yao imejaa rasilimali nyingi.
Akatoa mfano hivi Waziri Mkuu na Watoto wake wana tofauti gani na sisi. Sote si binadamu na tuna mwili na nyama? Kwanini mmoja alindwe, apewe kila kitu na serikali na mwingine anyimwe? Mifano ikawa mingi.
Video clip nimeambatanisha.
Tuliombee Taifa letu Tanzania.
Asalaam Aleykum
View: https://youtu.be/Re0zIoXmwBM?si=p_HypC6JMWa-i5et
Maiti hii inapingana na mtumishi wa Mungudini haikuja kuboresha maisha ya watu ya hapa duniani bali kuwaongoza watu katika njia itakayowapa maisha ya milele na furaha huko mbinguni.
Acheni kutumika na kutumia dini kudanganya watu.
Thank You For your comment.Ashakum si matusi, ujinga wako umeanza kujidhihirisha mwanza kabisa pale uliposema eti Mungu aliona taifa lake la waarabu linaangamia ndo akawapelekea Mtume Muhammad (SAW). Either hapa umeongea with ignorance ama with an intentional propaganda ya kusema Uislamu ni dini kwa ajili ya waarabu.
Pili, acheni kutumika kisiasa na kulitumia jina la Mungu katika agenda zako, dunia nzima viongozi wa kitaifa wanalindwa sasa tofauti ya kulindwa kwa waziri mkuu wa Tanzania na viongozi wa mataifa mengine ni nini?
This is my take ... I have seen a lot of followers wa dini ya wahubiri kama huyu kudai ukombozi kwa matatizo ya hali za maisha za watu ... this is ridiculous, watu wamepitia makubwa zaidi ya hayo i.e. vita kuu mbili za dunia na hatujaona mtume kutumwa kuja kukomboa watu. Duniani sio peponi kwamba hakutakuwa na kero ... dini haikuja kuboresha maisha ya watu ya hapa duniani bali kuwaongoza watu katika njia itakayowapa maisha ya milele na furaha huko mbinguni.
Acheni kutumika na kutumia dini kudanganya watu.
Kuna hoja hapaHuyo sio nabii!ni mtu wa mfumo anaetuandaa na matakwa fulani au mambo Fulani kama option ya kufeli Kwa malengo mengine!!
Yote hanawezekanaKuna hoja hapa
Ungeongeza point kidgo mkuu
Ni mfano ulio hai ,na si wakufikirika ulitaka amtolee mfano nani sasa?Kwa nini alichagua mfano huu?? Hakuona mifano mingine ya kutumia kojenga hoja yake?
Tunapoelekea uchaguzi Huwa Kuna tabiri nyiingi sana!Kuna tabiri za Mungu na tabiri za matakwa ya mfumo kuhusu jambo fulani!!Kuna hoja hapa
Ungeongeza point kidgo mkuu