Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Kumekucha
 
Usishangae sana kuna Maiti nyingi zinazotembea ukitaka kuziona wahi maeneo ya mtaa wa Congo na Azikiwe Msimbazi mpaka Mnazi Mmoja Posta Mpya Posta ya Zamani Fire Kinondoni Kanisani mpaka Mkwajuni Madaraja yote ya Flyover Vituo vya daladala Vituo vya mwendokasi Masoko yote tembelea Maduka ya Mjini, utakuta kuna Maiti nyingi zimelala
 
Una manisha nini Mkuu?
 
Una manisha nini Mkuu?
Maiti zimelala nyingi sana hapo aanachouliza Maiti nyingi haziwezi kuelewa sababu bado zipo usingizini, hayo maeneo nimekutajia ndio ukienda utakutana na ninachokwambia Maiti nyingi zipo maeneo hayo au nikuongezee maeneo mengine ya kwenda kuonana na Maiti zinazotembea
 
Ashakum si matusi, ujinga wako umeanza kujidhihirisha mwanza kabisa pale uliposema eti Mungu aliona taifa lake la waarabu linaangamia ndo akawapelekea Mtume Muhammad (SAW). Either hapa umeongea with ignorance ama with an intentional propaganda ya kusema Uislamu ni dini kwa ajili ya waarabu.

Pili, acheni kutumika kisiasa na kulitumia jina la Mungu katika agenda zako, dunia nzima viongozi wa kitaifa wanalindwa sasa tofauti ya kulindwa kwa waziri mkuu wa Tanzania na viongozi wa mataifa mengine ni nini?

This is my take ... I have seen a lot of followers wa dini ya wahubiri kama huyu kudai ukombozi kwa matatizo ya hali za maisha za watu ... this is ridiculous, watu wamepitia makubwa zaidi ya hayo i.e. vita kuu mbili za dunia na hatujaona mtume kutumwa kuja kukomboa watu. Duniani sio peponi kwamba hakutakuwa na kero ... dini haikuja kuboresha maisha ya watu ya hapa duniani bali kuwaongoza watu katika njia itakayowapa maisha ya milele na furaha huko mbinguni.

Acheni kutumika na kutumia dini kudanganya watu.
 
dini haikuja kuboresha maisha ya watu ya hapa duniani bali kuwaongoza watu katika njia itakayowapa maisha ya milele na furaha huko mbinguni.

Acheni kutumika na kutumia dini kudanganya watu.
Maiti hii inapingana na mtumishi wa Mungu
 
Thank You For your comment.
Karibu tena
 
Kuna hoja hapa
Ungeongeza point kidgo mkuu
Tunapoelekea uchaguzi Huwa Kuna tabiri nyiingi sana!Kuna tabiri za Mungu na tabiri za matakwa ya mfumo kuhusu jambo fulani!!

Ukifuatilia Kwa kina utagundua baada ya maamuzi Yale pale dodoma Kuna kelele Fulani zinapigwa japo vyombo vya habari haviripoti!lakini ni dhahiri shahiri Kuna kutoridhika na yale!yasiporekebishwa ndipo Dola itaamua option namba mbili ambayo ndio utabiri wenyewe!inaweza isiwe mtajwa lakini mtajwa akasaidiwa mwingine aliekusudiwa!!

Dola inajitahidi kuondoa madaraka Kwa wanamtandao au kwenye Koo fulani pekee na kuhakikisha madaraka ni ya wote na sio ya upande mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…