Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

Is this the best u can do? ... branding someone kuwa ni maiti based on ur mind alone? Mimi nimesema kwa hoja na wewe jibu kwa hoja!
Huyo jamaa kila mtu anamwita Maiti eti sababu hajitambui.....anatukosea sana
 
Is this the best u can do? ... branding someone kuwa ni maiti based on ur mind alone? Mimi nimesema kwa hoja na wewe jibu kwa hoja!
Na mimi nimesema kwa hoja kua maiti haiwezi kuamka kutoka usingizi wa Kifo hata uichome moto utaambulia majivu tu
 
HAPANA, shida ni CCM! Asitusingizie ndoto zake, na mwaka huu CCM wanachomoka tu
 
Na mimi nimesema kwa hoja kua maiti haiwezi kuamka kutoka usingizi wa Kifo hata uichome moto utaambulia majivu tu
Duh! .. una elimu gani ndugu? inawekana hiyo ndo shida hapa.

Kuna huu msemo wa kizungu "It's hard to win an argument with a smart person. It's damn near impossible to win an argument with a stupid person" ... hiki ndo ninachokiona hapa.
 
Asante kwa maelekezo mkuu
 
Kwa nini alichagua mfano huu?? Hakuona mifano mingine ya kutumia kojenga hoja yake?
Yupo sahii katika ulme wa mungu, kwani ni mahitaji gani ya kila siku kwa mwanadam ambayo ni tofauti ya mtoto wa Rais / Rais ,waziri mkuu ambayo ni tofauti na yeyote yule apa Duniani, au wakisha kuwa viongozi mfumo wao wa mwili na familia zao unabadilika?

Huwezi mwelewa uyu mtumishi kama kama huna Mungu ndani ya moyo wako
 
Correct
 
Well
 
Kiburu cha uzima ndugu......siku si nyingi utajutia hizi kauli zako za kufuru
Mwambieni huyo anajiita nabii Dennis yeye ndie ajiandae sababu hakutumwa na Mungu na ulinzi wa Mungu hana

Mark my words

Mungu hawajibiki kumlinda mtu ambaye hajamtuma kusema anachosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…