Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

🤣🤣🤣Bila shaka huyo anatoa hadi ndogo,ndomana anakuwa na demand kubwa kumaintain uchakavu,btw ngono zembe inachakaza wanawake kama huna matunzo.
Ulivoongea ivi umenifanya niwaze kina poshqueen, geeda, sanchi, Jesca tz, kwa mionekano yao na life style zao za kidangaji huenda wanatoa ndogo Ironbutterfly
 
Mambo ya viuno sijui sana, lakini kwa mada hii, mtoa mada ni wale wanaopenda pisi kali. Sa pisi kali zinakamua mifuko daddekkk..wanawake wasioomba hela, hawana tako, sura zao za kawaida na vijichunusi vya hapa.na pale, most of the times wanajielewa sana na wako serious na maisha. Lakini unafikiri watu aina ya mleta mada watawataka??? Wanafata wenye chura, ndo wanaishia kugharamikia chura...ndegelec..😅😅😅😅
😂😂😂😂Nimecheka looh
 
Next time text za kuombwa hela usiwe unajibu, Bluetick pita kushoto.

Na kama kuna ulazima wa kujibu basi jibu "Nikipata ntakutumia".

Hivi viumbe ni wabinafsi sana, na ukichunguza vzr ktk mahusiano hawana faida zaidi ya hasara..

Kuna mmoja nishamfungia vioo, wajinga ndio wanaotuma hela, mie ni kheri nimnunulie material things ila sio kumpa Cash...

Unampa Cash anaenda kutombwa na Mwanaume mwenzio bure bure.. na Manz analipia hotel kwa hela uliyompa.
wanawake asee😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.

Now its too much. Aende zake kwa kweli. Inatosha sana.

View attachment 2682796
Huyo HAKUPENDIIII EBU KIMBIAA😂😂😂😂😂🚫
 
Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.

Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.

Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.

Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.

Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.

Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.

Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.

Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.

Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?

Acheni ujinga.
Dah!...huyu wako ni 'super classic chick'...
 
Ooh hatutaki kudate ma goal keeper, majobless... tunataka wale wanaofanya kazi... haya dada Fetty huyo anamkausha bro wenu 🤣🤣
na anamshahara wa 2M kwa mwezi lakin pesa yake yeye wenda alivo akili hana anaenda kuvipa vijamaa vifupi fupi vinamfaidi
 
Ushasema wifi, huyo anajua password kuanzia benki hadi za mobile money. Yeye ni kutoa taarifa tu ila ana ruhusa ya kuchukua mzigo muda wowote akiwa na uhitaji.
Kuna wanawake pasua kichwa anajua kila kitu bado anasumbua hasa akishajua unapesa ataleta matumiz asiyo Na tija ukimwambia ukweli anaona una mnyanyasa kuhusu pesa zako aiseee nime dondoka kiuchumi sababu ya KUSIKILIZA mwanamke inahtaji kufanya ukaguz yakinifu juu wanawake tunao kutana nao.s washaur vijana waoe kwa haraka wala kuoa wanawake Wa mashindano,wanaojiona wao ni Bora,wanaojiona hawakosei,muda wote wanahis hawajaliwi,hawajui thaman kushukuru,wakisifiwa kidogo huleta dharau kwa wapenz wao,kwao sifa kubwa KUTONGOZWA hovyo ndio kuonekana kupendwa,KISHA pata Nafas ya kujua malez ya baba Na mama yake Na je mama yake anaish vipi Na baba yake.
 
Unachosema ni kweli wanawake wa Kitanzania wanaamini wao wanapaswa wauze sehemu zao za siri.
 
Unachosema ni kweli wanawake wa Kitanzania wanaamini wao wanapaswa wauze sehemu zao za siri.
Ndio ilivyo hvyo ninachosema ndicho nilichopitia nilimfungulia mirad akafilisi akisifiwa kidogo Na wateja ananiona mimi sijui kupenda wala kujar mwisho Wa siku akasema hata nisipofungua Hii mirad pesa ni za kwako kuwa makini sana Na hawa viumbe tafuta furaha yako mwenyewe YULE sahihi atakuja tu
 
Ila wanaume bhn....
Mambo madogo tu unamtoa akili mwanamke wako..
Ingekuwa hivyo saizi ningekuwa chizi namba mojaaa
 
Ila wanaume bhn....
Mambo madogo tu unamtoa akili mwanamke wako..
Ingekuwa hivyo saizi ningekuwa chizi

Ila wanaume bhn....
Mambo madogo tu unamtoa akili mwanamke wako..
Ingekuwa hivyo saizi ningekuwa chizi namba mojaaa
Mwanamke kama Hana akili ukifuga ujinga utakuua mapema mwanaume asie jiamini Na asie Na maamuz huwa ndio wanafuga ujinga wakiamin ndio upendo kumbe unateketekea unakuwa mtumwa
 
Mambo ya viuno sijui sana, lakini kwa mada hii, mtoa mada ni wale wanaopenda pisi kali. Sa pisi kali zinakamua mifuko daddekkk..wanawake wasioomba hela, hawana tako, sura zao za kawaida na vijichunusi vya hapa.na pale, most of the times wanajielewa sana na wako serious na maisha. Lakini unafikiri watu aina ya mleta mada watawataka??? Wanafata wenye chura, ndo wanaishia kugharamikia chura...ndegelec..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vichunusi vya hapa na pale[emoji23]
 
Back
Top Bottom