Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

Huoni matatizo umeyatengeneza mwenyewe kwa kujifanya umefukuzwa kazi wakati si kweli, bora umjaribu mchepuko lakini sio mke, yakusoma humu changanya na yako.
 
If she will not offer anything apart from sex achana nae mkuu, apo ilibidi atoe wazo hata la kuuza genge vibiashara vidogo.....hakunaga maisha ya straight kwa watanzania sisi labda uwe tycoon.....Kushuka na kupanda nikawaida Sanaa...... [emoji23][emoji23][emoji23] Sema huyo sio MKE....huyo ni DEMU...POLE
 
Wewe ni ****[emoji23] ulitegemea nini...

Waswahili wanasema 'Mbwa mkali ukimfuga usipomlisha, atakung'ata tu....'
 
So why marry someone you know has nothing to offer other than sex? We need to take obligation as men and stop griping.
 
So why marry someone you know has nothing to offer other than sex? We need to take obligation as men and stop griping.
Kwani huyo jamaa hapo hajachukua obligation???.... kula dagaa ni jambo la ajabu???


Au umelelewa mboga Saba?? Watanzania wengi hicho nichakula Chao daily....

Mwanamke ndio anatakiwa awe mfariji mkuu kwako na kukupa Nguvu ya kupambana kwa namna nyingine ili Familia iendelee kuishi...na SIO KUKIMBIA
 
Nimewahi kuwaza hilo zamani na ku share na jamaa zangu huo mpango.
Wote waliniunga mkono.
Nimefurahi sana kuisikia kwako kama ni kweli umefanya hivyo.
 
Ukimuhuzunisha mkeo wewe unapata raha gani?

Mara paap unarudi kazini unakutana na barua ya kuachishwa kazi.Ndio utajua usemi wa neno linaumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…