Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

Na bado una muadress kama wife, huyo sio wife ndugu, wife huwa hatukimbii matatizo badala yake huwa tunasimama mpaka mwisho, iwe jua iwe mvua
Comment bora ya mwaka kwangu,umpendaye amepata mke ashindwe yeye.
 
Kama mkeo anaitwa Mary/Maria umekwisha.....😅😅😅
 
Ni mwanamke asie uvumilivu na ambae hana kufikiria mbali, mwenye makosa ni mume.

Kwann anadanganya?? Mwana kulitafuta mwana kulipata[emoji23][emoji23]
Hii tabia hairekebishiki.... Mi naona ambwage tu lasivyo atakuja kujuta tu....
 
Na bado una muadress kama wife, huyo sio wife ndugu, wife huwa hatukimbii matatizo badala yake huwa tunasimama mpaka mwisho, iwe jua iwe mvua
Wewe ni wife wa kizazi kipi? 🤭🤭🤭
 
Kama sio chai, shikilia msimamo, muacha aende na asirudi. Anasahau maagano ya ndoa "tutashirikiana wakati wa shida na raha".
 
Arsenal inacheza leo nisichume laana
 
Kama ulijifanya hauna kitu hata hizo dagaa akawa ananunua yeye, my friend pole sana.
 
Back
Top Bottom