Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

Kiuhalisia mwanamke na mwanaume hawawezi kukaa muda mrefu ndani ya nyumba moja. Lazima mmoja awe anatoka na kurudi ili kila mmoja ajisikie uhuru. mkeo kaona hana nafasi ya kujamba kwahio kachoka kuzuwia mashuzi🤣
 
Kwa hiyo unatumia trick hii kumtimua ili upate kuoa mke wa tatu?
 
Hao wasiotaka tuoe wanataka tufanye nini? Changamoto ni moja ya stahioi ya binadamu. Leo mnasema tusioe kesho mtasema tujinyonge.
Ulaya walianza hivi hivi na mambo ya divorce na baadaye kukataa ndoa bila kujua kutakuwa na mbadala wa jambo hili. Yaani watu wataanza kuwaka tamaa zilizo nje ya asili ya binadamu. Ukipinga maana yake ma pervert yataongezeka sana.
 
Nakushauri muue kabla hajakuwahi...

KATAA NDOA... NDOA NI USENGE
 
Na bado una muadress kama wife, huyo sio wife ndugu, wife huwa hatukimbii matatizo badala yake huwa tunasimama mpaka mwisho, iwe jua iwe mvua
Nakubaliana na nyinyi na hta km mnachepuka ila ni kw masilahi mapana ya Hali ya mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…