Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

SIKUHIZI HAMNA NDUGU WA KARIBU WENYE HEKIMA MBONA JAMBO JEPESI SANA ULIKAA NA NDUGU ZAKO HASA WAZAZI UKAWAAMBIA HICHO KITU?


HAPA UTAAMBIWA MWACHE HAKUNA KINGINE KAMA KAKUAMBIA NI MIME QA DASA AKE FATILIA UONE KAMA NI KWELI
 
cha mbavu
 
Piga chini huyo

Usikute jamaa ashampa tayali mzigo.
 
Kwakuwa Una 27yrs msamehe Tu na uoe
Mjini hakuna cha Peke ako
 
Hapo hamna mke, mwanamke anaekupenda angefanya namna yeyote muonane,huyo hakufai jitahidi uanze kumsahau,najua siyo rahisi kumsahau but siyo mwanamke sahih,kuhusu bikira umepigwa pia,

Mungu akuongoze ufanye maamuzi sahihi kila la heri.
 
True
 
Mwanaume mwenye uanaume huwa haendeshwi na hisia bali akili. Mwanaume mwenye uanaume hushinda hisia zake kwa akiri fikirishi

Kama unaendeshwa na hisia huko uendako utalia mpka utaona aibu mwenyewe, mwanaume lzm uwe mafia, unaondokaje eneo la tukio bila kuruhusu akuone ulitakiwa ukamsalimie umwambue njoo nikupe hug, eti mwanaume ukashindwa

Hivi mgongo wako uko salama kweli?

Mwanaume akipuuzwa once huwa harudii akirundia ni kumfunza huyo tu na baada ya hapo hana time naye
 
wewe unaelimu gani maana UPUMBAVU wako uko juu sana.

miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.

nimekuwa nikimhudumia na kumsaidia mahitaji mbalimbali, kwa kuwa mimi nimeajiriwa. Yeye amemaliza Shahada ya Uhasibu, lakini bado hajapata ajira.

bado unasema umefumania watu wakiwa hotelini unajua maana ya kufumania????.
 
ushauri kaka umenitukana tu hujatoa ushauri
""Samia suluhu mitano tena 2025-2030""



kumbe nimeamini kuna CCM NA UVCCM ni weupe kichwani naomba nilog off nisije pasua simu hapa Gen Z wakwanza tahira ni wewe na cheo hicho nimekupa
 
Kwanza huyo hafai kwa dalili zinavyoonesha.
Cha kukushauri mbembeleze hadi uichape Kwanza kisha temana nae.
 
Yaaani mahusiano miezi saba tu unataka kuweka ndani? Alfu hata Mzigo ujawai kula? Piga chini jambazi huyo, uliemkuta hapo ndio bwana wake wewe anakunyima uyo jamaa aichakaza anavyotaka😎
 
Kama hujawahi fanyanae mapenzi hizo hisia ulizonazo ni hisia za kirafiki kwa hiyo usiumie kwa kumkuta na mwanaume mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…