Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

kaka hili tatizo lingekukuta wewe sidhani hata ungekumbuka vituo
Wewe sio mwanaume, hapo ulipomuona ukaacha kwenda kumuuliza ukatulia senge wewe, alafu unakuja kuuliza nini hapa na ulishamuona binti yupo na mwanaume wake
Uliyemkuta nae alikua wa muhimu kuliko wewe ndio maana akatoka nae, na inaonekana wewe mjinga kutokana na maelezo yako ndio maana akachagua kutoka na MWANAUME wewe ukapigwa chini
Na ili kudhihirisha ujinga wako utaenda kutoa mahari
 
unawezaje kufahamu ndugu wote kaka aneniambia kaka yake saa ingekua rahisi
 
Sasa hapo unataka ushauri au pole...
 
sijatoa mahari ila nimetoa barua mahari tulipanga mwezi ujao taree 3
 
Umemfumania wapi? Wakifanya nini na ni wa Chama gani?
 
ushauri kaka nimechanganyikiwa maana wazazi anajua mahali kutoa tarehe 3/10/2026 na kila kitu kishaandaliwa
Hivyo huwezi kuwaambia wazazi yule mwanamke nimepiga chini
Naona unataka kuwaridhisha wazazi ila huyo mwanamke kama ameweza kukukataa akatoka na mwanaume mwenzako huna chako apo mzee
Kama unataka weka ndani alafu uje hapa na uzi mwingine
 
Mimi nadhani unahitaji muda zaidi. Usiwe na haraka...

Airisha hayo matukio yasogeze hadi mwaka kesho kutwa hapo katikati hapo muda utakupa majibu sahihi.
 
Hivyo huwezi kuwaambia wazazi yule mwanamke nimepiga chini
Naona unataka kuwaridhisha wazazi ila huyo mwanamke kama ameweza kukukataa akatoka na mwanaume mwenzako huna chako apo mzee
Kama unataka weka ndani alafu uje hapa na uzi mwingine
itabidi nifanye hvyo kaka maana ijumaa wanaanza kuja huku nilipo kwa ajili ya hyo shughuli ya kutoa mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…