Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Ww kijana. You better watch your Back. Huwez kukuta Demu wako na jamaa mwngine halafu una kaa mbal. Unasubr Mpaka jion ndio uulize. Ww unaudumia wenzako wanakula mzgo kama kawaida.
Kwa kosa kama hlo kwang hili n msamehee n kula Tope au JichΓ².
 
Tangia siku ya kwanza alikuona boya, ht hii andika yako inaonesha hauko makini. Mwanamke amalize degree eti bado bikira? Wakati alishatobolewa tangia sekondari huko, kiufupi we ni mshamba. Tafuta mwanamke wa aina yako, ulivyo lofa bado unaomba ushauri?
 
Sasa hapo sijaona ulipomfumania shekh wangu au sijui kusoma....
 
Sasa hapo sijaona ulipomfumania shekh wangu au sijui kusoma....
kama hujaona nilipofumania sawa kaka ila chukulia km ww siku mke wako umemuacha nyumbani halafu ukamkute mazingira tofauti amekaa na mwanaume mwengine ambaye humjui wanakula na kunywa hila kwasababu alikua haafanyi mapenzi usimchukulie hatua yoyote
 
Mwenye tamaa ya usaliti kamwe haiachi... Hilo ni jipu... Haogopi hata kwa kipindi hili mhimu Cha kuelekea ndoa....vipi ulimuoa kabisa ..si utapigiwq mpk na kina kajamba nani... ΒΎ ya Tz ni wanawake ....
 
Muandiko huu huu ndo ulitumia kuandika barua ya uchumba??
 
Hahaha we kaowee wenzio uchapiwe had akili ikukae sawa uache kuomba ushauri kwa vtu vya kipuuzi
 
kama hujaona nilipofumania sawa kaka ila chukulia km ww siku mke wako umemuacha nyumbani halafu ukamkute mazingira tofauti amekaa na mwanaume mwengine ambaye humjui wanakula na kunywa hila kwasababu alikua haafanyi mapenzi usimchukulie hatua yoyote
Sawa mkuu. Pole sana ila kila jambo hutokea kwa sababu. Usikubali kuzidiwa akili. kila mmoja ale anapopeleka mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…