KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Yeye ange enda hata KUWASALIMIA then unaondoka zakoMtu ushamtolea barua ukashindwa kwenda kumuuliza hapo ulipomuona utaweza kulea familia kweli???
Subiri ukue achana na huyo malaya
Alishindwa hata kujipitisha aonekanebna dem kwamba nimekuona liveYeye ange enda hata KUWASALIMIA then unaondoka zako
Mmmmh
Sema sword 🗡️ Ina makali pande mbili perhaps mchumba wako yupo sahihi..
NB . Kataa kuuziwa MBUZI KWENYE GUNIA
Hila waja mna maneno hila kajitahidi kujieleza hila vituo ndo hakuweka wala komaWeka vituo bwana, tunasoma hadi pumzi inakata.
Alitakiwa aende na amsalimie then ange endelea na mambo mengineAlishindwa hata kujipitisha aonekanebna dem kwamba nimekuona live
Kwahyo tukikushauri urudiane nae utarudiana nae? Acha ULOFA wewe hili sio jambo la kuomba ushauri! Huyo mwanamke kashakuona ZOBA! Unamuhudumia mwanamke alafu humt*mbi we umeona wapi?? Wala huyo binti hana kosa lolote UZOBA wako ndo umewafikisha hapo! Kwa huu ULOFA wako wahuni watakut*mbea mpaka ushangae!kama umeelewa toa ushauri boss mambo ya muandiko achia walimu shuleni huko
Nipo aisee, tunakimbizana tu na haya maisha.Dr umeadimika
Ushauri ni kwamba msaliti hasamehewi na wala hastahili msamaha.mimi degree holder bro siwezi kushindwa kuandika hii issue imenichanganya sn nipe tu ushauri
Anasema eti yeye ni degree holder.Fundi mwashi huyo mkuu,