Nimemiss kupendwa....

Aisee me nadhani hizo level zikipita huwa hazirudi tena maana face ya msichana ikishaanza kukomaa inakuwa no longer a baby.. sasa mtu mzima habembelezwi.... pole sana Hawachumvi
[emoji16][emoji16][emoji16] ukaamua umuite kwa kiswahili kabisa Hawa chumvi
 
Hahahahh..! Watu msio na uwezo wa kutawala mioyo yenu mnapata taabu sana hapa duniani.
 
Jaman we mama nanii... Kuna mwenzako muda huu apewe hz sifa hata ya kuitwa tu mama nanii hapati maana baby kaitwa hadi anaona aibu kuitika. We unadhani maprofesa hawajahi kuwa Ly std 7? Kubaliana na majukumu. Ila baba nanii nae kazidi bhana hata kama yupo bze siku moja moja akubabishe basi.!
 
I wish i could turn back those days.
Such is life, lazima kuwe na phases katika life. Now you're grown up, take charge your life and dependants, ni mwendo wa kulipa bills, kusomesha, kujenga etc. Ukipata chance ya kubebishwa once in a while shukuru ili maisha yaendelee.

Wanasema life begins at 40 ila kwa Afrika kama haupo makini unaweza kufika hiyo 40 na hujafanya chochote tangible katika maisha.
 
Kweli majukumu yapo ila sasa jameni ndio yastopishe maisha? Sio fair
 
Hahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...[emoji23][emoji23]

Hahaaaa mie mwenyewe hiyo sms sijui niliiona mwaka gan jamani khaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwani ukimtumia mkeo tx "nakupenda"
Majukumu yanabadilika?
 
Hornet anauliza ukimtext mkeo "nakupenda" majukumu yako yanasimama?
Kama nawaona ujenzi utakavosimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…