Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Hongera sana kijana mwenzetu kwa kumfanyia jambo la kheri sana mzazi wako,ni thawabu kubwa sana unazozipata

Tunaomba pia tuzifahamu shughuli zako zinazokuingizia hicho kipato tafadhali,isije ikawa biashara kharamu nazo zimechangia uwe na huo ukwasi,hebu tuambie utuhamasishe vijana wenzako tupambane,manake tunapambana lakini kutoka kazi
 
-kilimo na ufugaji(ufugaji wa kuku wa kisasa)
-financial markets.
fANANCIAL MARKET NDIO NINI MKUU?kwa hiyo kupitia hiyo financial market unatushauri nini sisi ambao hatujawajengea wazazi wetu hata chumba wanaishia kufukuzwa kwenye nyumba za kupanga?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu dogo anafikiri kila mtu ni mtoto km yeye
Huyu kakopy na kupaste ya Ontario. Kaanza na kilimo cha mbogamboga kama Ontario alivyoanza na mahimdi [emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38]
 
Muangalie hapa asijekuingiza ajenda za forex mkapigwa pesa maana miaka 20 bado wanakula viazi kwao sasa jiingizeni kichwakichwa muione jangidi plaza live bila chenga
 
Hongera kwakuwa kwa hali halisi tuliyo nayo wengi ni ngumu maana hiyo nyumba kwa harakaharaka Ni ya thaman kuanzia 35M+ na vjana weng U30 hatuna mtaji wa biashara hata wa 10M kwahiyo inakuwa ni ngumu sana kuwajengea wazazi mapema
Asante mkuu, kumjengea mzazi wako ilikua katika moja ya mipango yako!?,
-kama haikua moja ya malengo yako,naamini una mipango mingine zaidi,sasa anza kuitekeleza mipango hiyo kwa kuipatia vipaumbele(priority)

-Binafsi,nilifaham fika kumjengea bimkubwa nyumba ni liability (haitoniingizia pesa) lakini nilitaka niitimize hiyo nadhiri niliyojiwekea nafsini mwangu.
-sasa ili niitimize ilinipasa niwe na assets za kutosha za kuweza kuniingizia faida ya kutimiza moja ya ndoto zangu......

NOTE;Moja ya Siri ya mafanikio ni kuwa "mkweli" kwa nafsi yako usiwe mtu wa kuyumba katika maamuzi,na KAMWE usipunguze matarajio yako yawe sawa na utendaji wa kazi,ongeza utendaji na ubunifu wa kazi kufikia malengo yako....
 
Kinachoongoza maisha ni AKILI na UTHUBUTU sio UMRI.....
 
Pole kijana kwa kua na wazazi masikini wasiokua na makazi ya kuishi ......binafsi wazazi wangu walinijengea nyumba,kabla hata sijazaliwa
 
Pole kijana kwa kua na wazazi masikini wasiokua na makazi ya kuishi ......binafsi wazazi wangu walinijengea nyumba,kabla hata sijazaliwa
Wazazi wangu walikua na makazi ya kuishi kabla,nlifanya hivyo kwa kua ilikua moja ya nadhiri zangu na ilinipasa niitimize mkuu
 
Tunaishi kwenye information age lakini wewe unatunyima hizo information, tutatoka kweli?
-Boss,a good news is that information is abundant &free,the bad news is that.... information is abundant and free.

-(Mkuu, habari nzuri ni kwamba Taarifa zinapatikana kwa wingi na ni bure,habari mbaya ni kwamba Taarifa zinapatikana kwa wingi na ni bure.....)
-mfano naweza kukupa fursa ya biashara,nkakwambia biashara ya viatu vya kike kariakoo ina faida Sanaaa(nkashindwa kukutajia changamoto zake), then nkaendelea kukwambia ukifungua meza zako nne au tano kwa mwezi una faida nzuri kabisa
lakin kwangu hiyo ni opinion sio fact(insane solution)
-baada ya Mimi kukupa hiyo fursa ya biashara wewe ukachukulia Kama fact,ukaanza hiyo biashara Mara moja baada ya muda ukakutana na changamoto zikakupelekea kuacha biashara ukaja kunilaumu.lakin labda ungeenda zako kariakoo labda kila weekend ukawa unafatilia hiyo biashara kinagaubaga ungefaham jinsi ya kukabili adha zake
#make sure you know how to classifying information so as to be insider information#
 
Good good boss wangu!
 
Akadanganye mademu zake wa kijijini. Sijui house boy anataka kujimwambafai kwa uongo wa kitoto sana
Looh,umaskini wako sio wa kuisha leo wala kesho unahitaj ukombozi wakifikra.....
_ukiwa mvivu usione wivu kwa wapambanaji[emoji57][emoji57]we endelea kugombania remote na watoto wa dada yako mwayaa[emoji848][emoji38]
 
Naona umeshaanza panda value kuwa haujibu PM. Kikubwa keep focused jifanye kama ilichoifanya ni kidogo Sana kwako na sio chochote ama ujiwekee nadhiri kuwa inatakiwa umjengee ghorofa ya billioni kumi you can go for it.
Hapana mkuu,ni vyema maswali yote nikayajibu hapa,sioni sababu ya mtu kunifata on
Thanks in advance....
 
Miaka mitatu umetoka shule dogo ukamilishe nyumba kali hivyo kwa vyanzo gani vya mshiko labda uwe ntu wa dili
Mkuu kinachoongoza maisha ni AKILI na sio UMRI,huenda viwango tofauti vya maisha vinatokana na viwango tofauti vya kufikiri......
-kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema"think deeper not wider",but for me I think 'if u can think both deeper &wider is better' is much better
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…