Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Yaani unamuacha mke kisa tu kachepuka!! Au kuna sababu nyingine? Hebu ukue huko ndoa hazivunjwi kwa sababu za kitoto namna hiyo.
Hebu mwambie huyu mwanaume[emoji848][emoji848]
 
Aaataruudiiih atarudi maamaa aaatarudiii anawapenda sana aatarudi atawaletea zawadi.... (Just singing)
 

Hizi ni dalili za ugonjwa mbaya sana unaoitwa Oneitis, na definetely unaonekana ur a SIMP.
 
Amrudie mkewe walee watoto wao, mambo madogo tu haya kayavalia njuga na kayakuuuuuuza ona sasa anateseka mwenyewe!!
 
Ni mijanaume ya kitanzania ndo ina mentality hiyo...lkn one day wanawake tutaamka na huo ndo utakuwa mwisho wa wanaume wanyanyasaji[emoji848]

Waamke mara ngapi [emoji23] we huoni kasi ya nyuzi za wanaume kusalitiwa na wake zao humu jamvini inavyoongezeka? Wanawake wameshaamka tayari, wanaume wakisaliti kushoto wao wanaenda kusaliti kulia mwisho wa siku wanakutana mahakamani kudaiana talaka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiwa siyo ME si rahisi kuelewa. Nyinyi ni rahisi sana kusamehe ME aliyechepuka hata kama ni ndani ya ndoa, lakini ni ngumu sana kwa ME. Jamaa anahofia angeweza kumdhuru mkewe au hata kumuua kwa hasira alizonazo. Ni bora aliondoka.

Tatizo hamkwenda jando nyie babu zenu wakawafunda. Mambo ya kawaida kabisa hayo, msikuze mambo.
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
My foot!!
Yaani amuombe msamaha mwanamke mzinzi!!
Mpaka umfumanie mwanamke jua ameshakudharau.
Na akaamua kuondoka kabisa.
Ukimrudia atakuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…