Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Hahahahahahaha nyie mna huo uwezo wa kusamehe na maisha yakaendelea lakini ME kuingiliwa maeneo yake ya kujidai kusamehe ni ngumu sana. Umeshawahi kuwaona majike ya wanyama wowote wale hata kuku wanagombea MadumeLakini jogoo na wanyama wengine madume yanapigana sana kwa sababu ya majike.
Achana na wanyama

Tena sisi tunaumia kuliko nyinyi nikwambie ukweli
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nakushauri kwa Moyo mkunjufu na mnyenyekevu, piga moyo konde na endelea na maisha yako huku ukilea watoto wako.

Talking from experience, you will thank me later.

All the best
Thanks in advance
 
Sasa ngoja nikwambie ukweli....wanawake hawasemehi kamwe, ila kutokana hana pa kwenda inabidi akaushe

Ila kisasi chake kibaya sana sana, ( jinsi kisasi chake analipizaje hii ni siri yetu sikwambii)
We utakua kungwi yaan nakuelewa saana point zako
 
🤣🤣🤣🤣🤣 basi huwa hamsamehi huwa mnazuga tu kisha kwenda kuchepuka utadhani malaya wa kona Bar. Ndani ya kipindi kifupi umechepuka na ME wanne au watano. Na hili la kurevenge nimelisikia sana kwa KE waliomo ndani ya ndoa. Yeah! Nachelewa kurudi atanidunda lakini ndiyo nimeshalalwa na ME mwingine kwa raha zetu lol!!!


Sasa ngoja nikwambie ukweli....wanawake hawasemehi kamwe, ila kutokana hana pa kwenda inabidi akaushe

Ila kisasi chake kibaya sana sana, ( jinsi kisasi chake analipizaje hii ni siri yetu sikwambii)
 
Basi achaneni wenzio wakusaidie kumtimizia hayo majukumu yote...

Maana imeandikwa, aziniye na mwanamke hana akili kabisaaaa (yaani zero brain bichwa dafu)...lakini haijaandikwa juu ya akili ya aziniye na mwanaume
Hili ni waZo pia,🙄
 
Men can’t withstand the same pain they have caused to women. Ulisaliti ukaomba msamaha yakaisha, amesaliti anaomba msamaha hutaki kumsamehe [emoji848]
Mimi nilisaliti hakunifumania nikaomba msamaha mwenyewe yeye kasaliti alafu kakimbia maZima nyumbani baada ya kuvurugika huko ndio anaomba msamaha imekaaje Happ??
 
Mke ndo msaliti halafu msamaha aombe huyu jamaa?
We kuweeeza?
Hapana.
Imeisha imeisha, tunaangalia mengine banaaaa.
Ina Sega la asalii kwani?

Mi as I get old.
Nakubali kabisa habari ya mapenzi huisha na yakiisha inatupasa kukubali.

Hamna tuzo yoyote kuburuzana kihisia kifala fala.
 
Mi namshangaa mkuu... badala amuite yaishe walee watoto yy ameendekeza kisasi tena kinamtafuna mwenyewe[emoji848]
Ni rahisi wewe kusema hivyo sababu ni mwanamke....huijui inner psychology ya wanaume. dhambi kubwa ya mwanamke kwa mme wake ni kwenda kutombesha nje...wanaume wengi tuko very serious na hii kitu, hatutaki ujinga. Tukijua things will never be the same again...
 
Baba jayaron wewe ulimpenda sana huyo mwanamke kuliko alivokupenda wewe. Huo ndio ukweli inaonekana ulikua unafanya jitihada kubwa kumridhisha yeye si ajabu yeye hakua na jitihada za ivo.

Hapo juu umesema alikuuliza iwapo ulichepuka kipindi umesafiri, wewe ukatembelea magoti kabisaaa wakati ushahidi hana. Aisee sasa kwa hali hiyo ndgu yangu yangu hata mwanamke si anakuona ni zuzu.

Kakosea anaacha kuomba msamaha et mbona na wewe ulichepuka, daah mzee kiukweli hapo wewe ulipenda ila sidhani kama ulipendwa.
Umeandika Kama unanifahamu. .. ukweli mtu hata wazazi wake hasa baba amenilaumu kwakumpenda binti ake bila akili mpaka nnkamwaribu
 
Nimefikiria kdg kwa kuwaunampenda na bado unamuitaji alee watoto wako bas mpe likizo ya miezi mitatu HV au miwil Wala usitoe talaka mrudushe Apo hasira yako itakuwa imepoaa snaana maisha yateendeleaa kwakwel kumpata mtu atakae kuzoee muda huu Ni Kaz Sana unaenda kuzoa makahaba tu bas mungu akusaidie
 
Kumbe amelipiza [emoji3], wanawake bwana si angeacha tu lipite. But anyway nyuzi nyingi zinazoletwa humu ndani kuhusu wanawake kusaliti zinasababishwa na wanaume wenyewe. Mwanaume akisalitiwa anaona yataisha tu kirahisi, subiri asalitiwe yeye, uchungu kama wote. Pole sana kaka, with time utakua sawa.
Ningemsamehe tatiZo njia aliyotumia
 
Back
Top Bottom