Basi angelipiza nikiwa na hela
Ego yako imekuwa so bruised.
TAFUTA HELA.
ILA PIA FANYIA KAZI VITU VIWILI
-KUJIAMINI.
-UTAWALA WA KIUME.
Sisi wanawake hatupendi sana wanaume wa aina yako.
Mi hapa unavolalamila lalamika hivi yani uuuuuuuwih najikuta tu nakosa poz.
This isn't ideal kind of man ,a woman wud settle with , let alone settle for less.
Na hata akishasettle ,kukukimbia rahisi sana.
Akikutana tu ni mwenye personality ya umiliki na utawala kukuacha ni dk sifuri.
Niamini mimi, you are too naive.
Too fragile.
Ulikuwa mume but hukuwa na ownership kwa huyo mke.
Mwanamke akikosa kumilikiwa ( haihusishi hata kidogo na ukatili, unynyasaji)
Humpi sababu ya kuwa mkeo au kuendelea kuwa mkeo.
Ungenioa mimi , we hata mwezi usingemaliza.
Kwanza sijui hata ungepeleka posa kwetu.
Ah, hata kwanza usingenitongoza.
Kila siku ungekuwa unalia lia.
Na nisingekuelewa still.
Sijakutukana, nimekuwa tu mkweli nikusaidie.
Una mengi ya kufanyia kazi ndani yako kabla ya kufikiri ndoa inakuondolea ukamilifu.
THE INNER YOU ndo kuna shida, na hii usopoifanyia kazi.
Kila siku utakuwa na threads hapa.