Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Pole mkuu , nilipitia hali kama yako so tunajuana ndgu yangu. Yawezekana alikua anakupenda ila kujishusha shusha kwako kumeshusha CV yako akakudharau. Na kama mkirudiana basi jaribu kubadilika weka kaukali kidogo kwenye mambo usiyopenda.Umeandika Kama unanifahamu. .. ukweli mtu hata wazazi wake hasa baba amenilaumu kwakumpenda binti ake bila akili mpaka nnkamwaribu
Wanawake ndo wapo hivyo wanataka mwanaume strong coz wanaamini we ndo mlinzi wake. Sasa akiona mtu unalega lega kama mlenda, kosa lake unaomba msamaha wewe. Apo ndgu yang unapoteza sifa hata kama anakupenda aje.