Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Pole sana Mungu akusaidie katika changamoto kubwa unayopitia, muombe Mungu sana akupe neema ya kusamehe na kusahau mara nyingi linapotokea tatizo la Mume na Mke kutengana wanaopata shida ni Watoto, Mungu akusaidie.
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana? Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Witi umetisha wallah
 
TATIZO Sina demu na nahitaji demu mkali zaidi yake ili nafsi yangu itulie
Unaona akili zako.
Skia,
Demu mkali unakua nae kwa kuwa unamfeel, kwa kuwa hicho ndo unachotaka.

Utatembeza rungu umalize.
Bila kujaza hiyo vacuum ndani yako nakwambia hiii thread ni episode 1,season 1.
Kuna season kama 38 hivi.
Zenye episode 12 /12.
 
TATIZO Sina demu na nahitaji demu mkali zaidi yake ili nafsi yangu itulie

Ukitaka kulipiza kisasi kwa mtindo huo utapotea, unaweza kum replace mkeo na demu mkali halafu huyo demu akaja kukuvuruga kuliko alivyokuvuruga mkeo. At any cost don’t ever date or marry out of revenge, utajuta. Ni hayo tu
 
Sasa si uoe mke mwengine mbona unalia lia mwanaume wazee wako hawakukufunda
 
Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

Inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Yani kosa la mwanamke halafu mwanaume aombe msamaha.. Hv wanaume siku hizi mbona tumegeuka wanawake. Oa mwanamke mwengine mtu huyo hakutaki ndio maana aliamua kuondoka hapo kwake
 
Jipe moyo,ata matajiri wakubwa huko duniani wamekutana na hiyo changamoto na maisha yanaendelea
 
Na ukimlazimisha mrudiane jiandae kwa maumivu makali zaidi ya hayo uyapatayo sasa. Kwanza shukuru Mungu wako upo salama, ujue mke mzinzi ni rahisi sana kukuambukiza magonjwa.

Rafiki yangu mmoja nimpe jina Robert alikuwa na mke mzuri tu kwa mtazamo wake, baada ya kuishi naye kwa miaka kadhaa wakapata mtoto wa kike maisha yakaendelea, walipopata mtoto wa pili Robert akaanza kuhisi mkewe anamsaliti kwa kutOmbw@ na baba mwenye nyumba walipokuwa wamepanga, akamdadusi mkewe kwa kina sana akakiri ni kweli.

Robert akaamua kutengana na mkewe kwa muda, miongoni mwa watu aliowaomba ushauri ni mimi, akaenda kucheck afya yake kakutwa yupo salama, baada ya miezi mitatu kacheck tena yupo vizuri.

Nilimshauri sana Robert asikunali kurudiana na mkewe hadi ahakikishe naye amecheck afya yake akakubali. Siku moja Robert akaniambia ameongea na mkewe wakutane wazungumze ikiwezekana wayasuluhishe yaishe nikamwambia ni jambo jema sana kutafuta suluhu ila asisahau afya ni ya muhimu.

Siku hiyo nilimtafuta sana kwa simu zake zote kutwa nzima sikumpata. Nikamtumia ujumbe mfupi wa sms uliosomeka hivi "rafiki yangu kama hujazingatia suala la afya omba Mungu akuokoe", jioni akanipigia akanieleza kuwa alikuwa na mkewe wameyajenga yameisha lakini hakuzungumza lolote kuhusu sms niliyomtumia hapo kabla. Kiukweli moyo wangu ulikosa amani sana juu yake na sikujua ni kwanini maana nilikuwa napata hisia mbaya sana.

Baada ya miezi kadhaa kupita Robert alitokwa na kijiupele kidogo dogo sehemu ya joint ya mkono wake wa kushoto, kikawa kinakua kadiri siku zilivgosonga anajikuna kinazidi kusambaa, alijaribu kutibu kwa kila njia ilishindikana. Siku moja tukaenda hospital fulani kumsalimia daktar ni rafiki yetu, doctor alipoona kile kidonda akamshauri Robert kucheck afya yake kabla hajachelewa na mambo kuwa mabaya zaidi.

Alikuwa ameshaambukizwa ukimwi, alilia sana na kujilaumu mno kwanini hakuweka msimamo siku ile alipokutana na mkewe maana tangu pale hakuwahi kukutana kingono na mwanamke mwingine yeyote. Tulifanya kazi ya ziada kumshauri maana alitamani ajimalize.

Mbeleni ilikuja kugundulika hata wale watoto sio wa kwake ni wa yule mzee mwenye nyumba wote wawili. Waliachana kila mmoja akashika njia yake. Robert alijilaumu sana kwasababu kukosa kwake msimamo kulimponza.
Hii huwa inawapata wanaume ambao wamepata misimamo ya kike.
 
Kwa uchungu mkubwa nikupe polekwa kutombewa ndugu yangu, again nikupe pole kwa ku compromise na issues zinazohusu usaliti hasa kwa mwanamke, we jamaa, hivi unajua mwanamke aliyetombwa nje kisawasawa huwezi kumbadilisha hata ukirudiana nae?, for experience nimekula wake za watu kama wanne ( japo sio sifa ni usenge huu) ila mwanangu huwa nawakunja haswaa, kuna mmoja nilikuwaga nakula hadi maku inatoa povu, nambinua naangalia hadi maini, namla huku analia tuu ananiita mume wangu, mume wangu nakupenda jamani, alikuwa anatoroka kazini asubuhi anakuja namlaa mda wa kurudi home na yeye anarudi, hapa nasafari kwenye mkoa alipo na naenda kumchakaza haswa( nakojolea ndani yani), again huwa anajifanyaga anamposti mume wake mimi namaindi anafuta, hahahha, kuna wakati huwa nawaza nasema hawa wanawake ni qhumamae sana, note this, mwanamke msaliti sio wa kusamehe, wana cheat na hisia na akili zoteeee, ukimsamehe trust me utakuja pigwa tukio moja hadi utajinyea kabla ya kuja hapa jamii forum, broo wanawake mbona wengi hivi wazuri?habari ya watoto isikudanganye oooh wataharibikiwa, Mungu atawalinda bhana, nachokiona una moyo mdogo na ubongo wa paka, unaweza kuja kumuua huyo mama akikusaliti tena, sasa tabu zote za nini ndugu yangu? na wewe uachage ufala stop being democratic kwenye mapenzi, wewe unamuambiaje mkeo umechepuka kumamamae wewe, ila na nyie wake zenu ni watamu jamani, shenzi sana watunzeni huko, yaani maku zinabana sijui hamuwagongi, all in all uzinzi sio poa, badilikeni vijana.
 
Back
Top Bottom