Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Naunga mkono hoja.Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Mke wa kurudiana ni mwenye chura...
Na mume mzinzi huvumiliwa...
Cc Behaviourist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja.Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Alicheki DNA?Utapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?
Hao wanaokushauri hivo nao mahusiano yao rojorojo, tia maji shauri yako
Kumbe unajua[emoji1787][emoji1787]
Pole Sana mkuu Mimi nakushauri usimwache watoto ndio watakaopata shida kumbuka mazuri yake pia msameheNi kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??
#chanzo Mimi simtimizii nahitaji yake yooote
Ukisharudiana naye inakuwa hivi,"Yani nikichelewa kidogo unahisi mi nilikuwa kwa wanaume",unaamua kukaa kimya, hapo ukute kweli alikuwa kule kule au kwa mwingine.Ndoa hizi, tuachieni siye ma senior...Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Mwanamke msaliti harudiwiiiii!Pole Sana mkuu Mimi nakushauri usimwache watoto ndio watakaopata shida kumbuka mazuri yake pia msamehe
[emoji848][emoji848] Ni mahitaji gani kakosa jaman hadi akaamua kukucheat mi nafikiri sababu kubwa hapo ni kulipiza kisasi kwa sababu nawewe ulimcheat
Mbona hata nyie mnatusaliti au kwenu nyie ni sawa?
Kuna mdau kakushauri hapo juu mkuu kamuombe msamaha kwa kumkosea yaishe manake inaonekana maji yamezidi unga tayari...Sasa haya maumivu nafanyaje?
HapanaAlicheki DNA?
Mwanamke mzinzi anaweza kukuzalia watoto wako toka kwa wanaume wengine tofauti... kila mtoto na baba yake..
Kwa taarifa yako huyu mleta mada alikuwa na michepuko ya kutosha tu mbona mke kalipiza na yeye analia lia hapaPolee sana Mkuu
Jikaze kaka, usithubutu kurudiane naye. Utasumbuka kwa muda tu ila baadae utazoea. Lakini liwe funzo kwako na wenhine mnaojidanganya Kuwa Marriage is a a sacred thing mnaacha hata kuwa na Back up somewhere. Katika maisha yangu haya sitaweza kukaa na Mwanamke mmoja.
Back up is for everyone, people are cruel and heartless. Don’t ever forget and trust somebody. Utaishi kwa amani sana. I am very sorry, this too shall pass.
Tuna tofauti kubwa sana kati yetu. Mimi sijawahi msaliti mke wangu hata siku moja, lakini ikitokea hivyo sitamdharau wala kupunguza chochote ndoani mwetu. Ni hulka na maumbile yetu, ila mwanamke akishaanza kufanya hivyo hapo hamna nyumba/familia tena. Mwanamke msaliti haachi, mana mwanamke hafanyi mapenzi kama starehe, anafanya kwa upendo tofauti na mwanaume. Mwanamke hampi mwili wake mtu asiempenda ndio maana akichepuka huwa tabu kuacha na dharau kwa mmewe. Kama anabisha arudiane nae ataleta ushuhuda mwingine.Mbona hata nyie mnatusaliti au kwenu nyie ni sawa?
Bro mwache Dada aendelee na maisha yake nawe muda ukipita utazoea!!TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu. Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae. Nateseka kinyama yaani.
Wanampoteza, mwanamke mzinzi harudiwi kwa sababau yyte ile *****kuna mdau kakushauri hapo juu mkuu kamuombe msamaha kwa kumkosea yaishe manake inaonekana maji yamezidi unga tayari...
Kila mtu akae mwenyewe hata miezi 6 then ikipita utatathmini mwenyewe!Yeye anataka tusiachane TATIZO Mimi nimeshindwa kurudisha Moyo hasa ukiZingatia nnahasira yakumdhuru Kila nikimkumbuka na kumuona .... Nnaona atanigharimu nikirudiana nae.
Swala la kula ujana si kivili issue ni vile nilijitoa Kikamilifu kwakua ni Mama watoto wangu
Sawa kumbuka hakuna mkamilifu inawezekana kapitiwa tu kashawishika tu pengine siyo tabia yake..Tuna tofauti kubwa sana kati yetu. Mimi sijawahi msaliti mke wangu hata siku moja, lakini ikitokea hivyo sitamdharau wala kupunguza chochote ndoani mwetu. Ni hulka na maumbile yetu, ila mwanamke akishaanza kufanya hivyo hapo hamna nyumba/familia tena. Mwanamke msaliti haachi, mana mwanamke hafanyi mapenzi kama starehe, anafanya kwa upendo tofauti na mwanaume. Mwanamke hampi mwili wake mtu asiempenda ndio maana akichepuka huwa tabu kuacha na dharau kwa mmewe. Kama anabisha arudiane nae ataleta ushuhuda mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa mkuu na yaweza isiwe tabia yake. Ila kama kapata haswa anachokitaka haachi, hata amsamehe hamna ndoa hapo.Sawa kumbuka hakuna mkamilifu inawezekana kapitiwa tu kashawishika tu pengine siyo tabia yake..
Je akimwacha akamwoa mwingine akimcheat atamwacha Tena?
Atawaacha wangapi mwisho wa siku watoto ndio watapata shida
Hivi kutotimiziwa mahitaji kunamfanya mtu atoke nje ya ndoa [emoji848][emoji848] nimesikitika sana
Sawa mkuu amsamehe tu akirudia tena amwache na huyo dada ni Kama analipiza kisasi kutokana na maelezo yakeNakuelewa mkuu na yaweza isiwe tabia yake. Ila kama kapata haswa anachokitaka haachi, hata amsamehe hamna ndoa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi heshimika tena. Inauma sana ukivuta picha ile raha anakupa afu amepewa mwingine. Wahuni wakimpata mke wa mtu kazi yao si yakitoto. Dah pole yake mkuuSawa mkuu amsamehe tu akirudia tena amwache na huyo dada ni Kama analipiza kisasi kutokana na maelezo yake
wanawake tunaweza san alf wanasema sisi viumbe dhaifu wao kwenye mapenzi ni dhaifu zaidi sisi tunasemehe ata tukufumania na maisha yanaendleaMi namshangaa mkuu... badala amuite yaishe walee watoto yy ameendekeza kisasi tena kinamtafuna mwenyewe[emoji848]