LITA2019
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 485
- 1,041
Katika kosa ambalo mwanaume hutakiwi kukiri ni kwamba kweli umechepuka. Bila kujali ushahidi wowote ule hupaswi kukiri daimaIla na we ni boya unakubalije et ulichepuka na wakati ushahidi hakuna,yaani et mtu anakubana tu unakubali,hilo ni kosa kubwa ulifanya na usije ukarudia maisha yako yote,yaani angalau akufume laivu na hapo unasema hazikuwa ni akili zako na hujui kama ni wewe,watu wanakana hadi video wewe unakubali kwa maneno tuu