Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kiasili jinsia ya kiume ni polygamous tofauti na jinsia ya kike. So hata jamii itakushangaa mwanamke kuchepuka kuliko itakavyo mshangaa mwanaume.Hairuhusiwi na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiasili jinsia ya kiume ni polygamous tofauti na jinsia ya kike. So hata jamii itakushangaa mwanamke kuchepuka kuliko itakavyo mshangaa mwanaume.Hairuhusiwi na nani?
Trust me.Kuna mteja wang mtu watanga alinitaka akaniambia nikimkubalia atanisahaulisha familia yangu.... Nilitoka nduki baalaa
I'm more than correct, ili familia ieleweke ma itawalike lazima kiongozi awe shupavu ndiyo maana hata raisi akikosea huwezi kukuta kampigia mtu makofi ila utakuta amempa favour flani tu lakini humkuti kapiga magoti. Ila ukipiga magoti tu umeshaharibu akili yake kwamba yeye ni zaidi yako na hiyo ni maana halisi ya kupiga magoti. Mwanaume anayejuelewa hawezi kupiga magoti kwa mwanamke na akifanya hivyo madhara yake ndiyo kama haya ndoa imekufa kwasababu alishindwa kuimudu vizuri.Wewe umejuaje kuwa tukipigiwa magoti tutakumiliki?
You're not correct in your judgement [emoji848]
Si juzi tulikubaliana kuwa mi narembua macho?You nailed dude!!!💪
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
Lkn hii hailalishi kujit0mbesha huko nje...unakijua kisasi cha wanawake wengi akikugundua?Kiasili jinsia ya kiume ni polygamous tofauti na jinsia ya kike. So hata jamii itakushangaa mwanamke kuchepuka kuliko itakavyo mshangaa mwanaume.
Dah ndio maana mzee, sema umefeli sana ila sio kesi! Kama vipi muache atulie kwao kwanza kama yupo kwao maana kufosi sahizi haifai kashapotez mvuto na wewe!Wa kwanza
Wanawake wanaovumilia waume zao wakichepuka ni wengi sana mkuu, ila mwanaume kumvumilia mke aliyechepuka ni ngumu mno mno.Kama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessj
Soma vizuri post yako namba 23, labda umeandika bila kuangalia vizuri. Anyway sorry kwa kukuelewa vibayaBro usikuze Mambo nilichofanya nikuomba msamaha tuu si kupiga magoti
Sasa hivi hilo tako kapewa muhuni mwingine analibinua binua...mkuu tafuta helaAlafu unashepu Kama ya mke wangu daaah[emoji22][emoji22][emoji22]
Yes haihalalishi lakini ikitokea ni bahati mbaya kwa mwanaume.Lkn hii hailalishi kujit0mbesha huko nje...unakijua kisasi cha wanawake wengi akikugundua?
Yeye kakulipizia tu huyo sababu ulizinguaMi binafsi nilimpanga mapema akiliwa nje ndoa basi
😂😂😂😂😂😂😂Sasa hivi hilo tako kapewa muhuni mwingine analibinua binua...mkuu tafuta hela
Ndo maana unalia lia sana...
Wewe hujawahi kumsaliti?
Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie[emoji848][emoji848]
Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki
Its not easy to deal with the feeling! Somebody toasted my wifes butts!Watu huwa wanaamini wanaume hawaumizwi na mapenzi au mambo ya.hisia.
hehehhehe mo katika watu nawaheshimu wakiwa vulnerable ni wanaume.
Kwanza hata kuandika tu hapa.
Pili unaona hata namna anaizungunzia ndoa yake, sio kuwa yeye yuko clean or what but anatake responsibility kwa ilipofikia.
Mi nimemwelewa sana!
Lakin atakuwa tu poa!
Penzi likivunjika linauma bana, sembuse lililofikia ndoa na watoto.
Weeeeh.
Hata kujimwambafai kuwa chukua mwingine weka ndani ni kujipa tu moyo.
Ukikaa mwenyewe unakiri kabisa
"Fuuuuuck I'm striked"
Jamaa yetu bana,,,,,Kumbe ndio kazi alikuwa anafanya hii hadi alafumaniwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Damn son! This nigga wasted...😅Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
Hapa kuna ukakasi sana.[emoji16][emoji16] mzee wa makaburi
Huyu mleta uzi mbona muongo hivi? Kumbe miaka mitatu ndoa chali yeye anasema mwezi? Daah[emoji134]
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .