Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga ntasahau watotoFanya ziara ya Tanga kama wiki hivi, ukirudi unaweza toa ushuhuda ukipenda.
Alafu unashepu Kama ya mke wangu daaah😢😢😢Wewe achana na storee za humu...rudisha home mama watoto wako
Huna kazi?Nakubali nilikosea..... Ila ni miaka minne iliyopita Sasa hivi ishu ni kwakua sina pesa
Mmmh[emoji848]Stress zinatokea wapi..leta dada wa kazi,watoto spend nao time pia na wewe..baada ya miaka kadhaa tu hao watakuwa ni watu wazima.
Wa kwanzaKaka huyu mwanamke wako wa ngapi kuwa nae toka umepevuka? Tuanzie hapo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mkuu tuna share experience..Acha kunisemelea mkuu[emoji848]
Yes ukinifuma mimi hamna shida. Ila mimi nikikufamania basi hairuhusiwi kuendelea na wewe.Pole mkuu!
Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?
Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....
Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa
Mrudie!
Kweli best Wala sipingiHuna kazi?
Basi ndo maana unalia lia
Ukiwa huna hela mapenzi ni yanakupelekesha vibaya vibaya
Huyo mwanamke kakimbia ufukara, kibaya zaidi ukajit0mbesha nje hadi akajua ndo maana full dharau!
Ila Stone utawala wake umedhalilisha wanaume jamani mweeh[emoji848]
Mi binafsi nilimpanga mapema akiliwa nje ndoa basi[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mkuu tuna share experience..
Nyie mkifumania sio kweli kuwa mnasamehe, bali mnajipanga kulipa kisasi na mara nyingi inakuwa mbaya mno..
Bahati nzuri ikitokea nimejua, ndoa au mahusiano ndio basi tena.
Wewe umejuaje kuwa tukipigiwa magoti tutakumiliki?Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
Ukisahau watoto ndio utakuwa dhaifu zaidi.. Kama unataka kupona maumivu na hujui ufanye nini, nenda barabara ya13[emoji1]Tanga ntasahau watoto
Kuna mteja wang mtu watanga alinitaka akaniambia nikimkubalia atanisahaulisha familia yangu.... Nilitoka nduki baalaaUkisahau watoto ndio utakuwa dhaifu zaidi.. Kama unataka kupona maumivu na hujui ufanye nini, nenda barabara ya13[emoji1]
Sasa cool down ..let the time passKweli best Wala sipingi
Kwa Wanaume Mkuu it is easier say than don
Hairuhusiwi na nani?Yes ukinifuma mimi hamna shida. Ila mimi nikikufamania basi hairuhusiwi kuendelea na wewe.
Hapana yeye ndo anamakosa.... Mavi ya kale hayanukiHapana
Msameheane
Wote mna makosa
You nailed dude!!!💪Watu huwa wanaamini wanaume hawaumizwi na mapenzi au mambo ya.hisia.
hehehhehe mo katika watu nawaheshimu wakiwa vulnerable ni wanaume.
Kwanza hata kuandika tu hapa.
Pili unaona hata namna anaizungunzia ndoa yake, sio kuwa yeye yuko clean or what but anatake responsibility kwa ilipofikia.
Mi nimemwelewa sana!
Lakin atakuwa tu poa!
Penzi likivunjika linauma bana, sembuse lililofikia ndoa na watoto.
Weeeeh.
Hata kujimwambafai kuwa chukua mwingine weka ndani ni kujipa tu moyo.
Ukikaa mwenyewe unakiri kabisa
"Fuuuuuck I'm striked"
Muda utaamua let's waitSasa cool down ..let the time pass
Utakuwa sawa tu mbeleni