Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Mwanaume huwa hasaliti ndoa, yeye anakutwa tu. Anayesaliti ni mwanamke na according to men mke akisaliti ndoa dawa ni talaka, ila mume akikutwa na michepuko mke anatakiwa kusamehe. Wanaume wote wanaishi humo [emoji23] hiyo ndo falsafa yao na huwatoi hapo.
Ni mijanaume ya kitanzania ndo ina mentality hiyo...lkn one day wanawake tutaamka na huo ndo utakuwa mwisho wa wanaume wanyanyasaji[emoji848]
 
Mrudie mkeo hata yeye kule anapata wakati mgumu kama anaomba radhi mwite bali usioneshe kama unamhitaji
 
ACHANA NAYEE, WEKEZA AKILI KWENYE KUTAFUTA PESA.


ACHANA NAYE HUYOOO

MWANAMKE UKISHAMTOMBA..TENA HADI UMEMZALISHA.

YANINI, AKUPE SHIDA KISA ANATOMBWAA NJE??


ACHANA NAYEE, FUKUZA, FANYA MAISHA...SIUMESHAPATA WATOTO???


FANYA MAISHA, WEKEZA KWA WATOTO

VUTA CHOMBO KIKALIIIIII YAAN KIZURIIIIIIIIII.
Mkuu mbona kama una mkemea [emoji23]
 
ACHANA NAYEE, WEKEZA AKILI KWENYE KUTAFUTA PESA.


ACHANA NAYE HUYOOO

MWANAMKE UKISHAMTOMBA..TENA HADI UMEMZALISHA.

YANINI, AKUPE SHIDA KISA ANATOMBWAA NJE??


ACHANA NAYEE, FUKUZA, FANYA MAISHA...SIUMESHAPATA WATOTO???


FANYA MAISHA, WEKEZA KWA WATOTO

VUTA CHOMBO KIKALIIIIII YAAN KIZURIIIIIIIIII.
Mmh kirahisi rahisi hivo?[emoji1787][emoji1787]
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Mmmh!! Hizo paragraph mbili za mwisho zina ujumbe mzito sana!!
 
Baba jayaron wewe ulimpenda sana huyo mwanamke kuliko alivokupenda wewe. Huo ndio ukweli inaonekana ulikua unafanya jitihada kubwa kumridhisha yeye si ajabu yeye hakua na jitihada za ivo.

Hapo juu umesema alikuuliza iwapo ulichepuka kipindi umesafiri, wewe ukatembelea magoti kabisaaa wakati ushahidi hana. Aisee sasa kwa hali hiyo ndgu yangu yangu hata mwanamke si anakuona ni zuzu.

Kakosea anaacha kuomba msamaha et mbona na wewe ulichepuka, daah mzee kiukweli hapo wewe ulipenda ila sidhani kama ulipendwa.
 
Baba hii kitu ata yeye anajua na nilisha OMBA msamaha Wala si siri

Men can’t withstand the same pain they have caused to women. Ulisaliti ukaomba msamaha yakaisha, amesaliti anaomba msamaha hutaki kumsamehe [emoji848]
 
Sijasoma yote ila wewe huenda ndio chanzo cha yeye kuwa na mahusiano mengine

Men can’t withstand the same pain they have caused to women. He cheated in the first place, kachitiwa yeye kaumia mnooo. Yani pa kwake panauma alivyochitiwa, ila pa mwenzake hapaumi akichitiwa. Akichiti yeye asamehewe kiroho safi, akichitiwa yeye kusamehe hapana.
 
Ni kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??

#chanzo Mimi simtimizii nahitaji yake yooote
Basi achaneni wenzio wakusaidie kumtimizia hayo majukumu yote...

Maana imeandikwa, aziniye na mwanamke hana akili kabisaaaa (yaani zero brain bichwa dafu)...lakini haijaandikwa juu ya akili ya aziniye na mwanaume
 
Pole sana mkuu,
Naelewa unapitia kipind kigum sana, bila shaka na yeye huko anakumiss Sana TU.
 
Kila siku tunasema unapoachana na mtu " Hesabu gharama kwanza" kabla ya kufikia conclusion. Na katika kuhesabu gharama usimuhusishe mtu yeyote Bali wewe mwenyewe kwa sababu gharama za kuachana unalipia wewe, unayemuacha na watoto wako.

LAKINI pia Kaa ukijua kwamba hata mke au mume akukosee Nini, tambua kuwa Kuna uzuri wake na Kuna faida za kuwa naye ambazo hutazipata mtakapoachana. So mkitaka kuachana hakikisha kosa lake limesababisha 'usimpende tena'; namaanisha uzito wa kosa uwe umezidi kiwango Cha upendo, then uko tayari kulipia gharama zote za kuachana. Then unaweza kumuacha mtu, vinginevyo utateseka sana.

Gharama za kuachana ni kama, watoto kulelewa na upande mmoja, kuona mkeo akiolewa au mume akioa mtu mingine, matatizo ya kiuchumi, upweke, ugumu wa kulea watoto ukiwa peke yako n.k
Hii comment yako ilitakiwa iwe Uzi rasmi. umeongeA point[emoji106]
 
Yaani unamuacha mke kisa tu kachepuka!! Au kuna sababu nyingine? Hebu ukue huko ndoa hazivunjwi kwa sababu za kitoto namna hiyo.
 
Back
Top Bottom