Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Katika kosa ambalo mwanaume hutakiwi kukiri ni kwamba kweli umechepuka. Bila kujali ushahidi wowote ule hupaswi kukiri daima
 
Sasa tutakua watu wa kulipiziana Hadi lini!?
Hata wewe unamsapoti kwa hili?
Mi nimemuona Kama mke mpumbavu aliyevunja nyumba yake mwenyewe
Kwa alichokifanya simsapoti Ila msamehe tu mkuu Mana hata ww ulishawahi kumcheat siyo vizuri kulipiziana kisasi
 
Kwa alichokifanya simsapoti Ila msamehe tu mkuu Mana hata ww ulishawahi kumcheat siyo vizuri kulipiziana kisasi
Ukitoa nafasi ya umama (kuzaa) alichobakiza ni sex tuu ndo naimiss.... Vingine vyoote alishapoteza maana hata malezi alikua Hana kwa watoto.
Let's wait mda uamue
 
Ukitoa nafasi ya umama (kuzaa) alichobakiza ni sex tuu ndo naimiss.... Vingine vyoote alishapoteza maana hata malezi alikua Hana kwa watoto.
Let's wait mda uamue
Sawa mkuu tuuache muda uamue Ila kumbuka hakuna mkamilifu
 
Kuacha hakuna idadi maalumu unaweza kuacha hata mara Elfu 2
 
Sure ndugu
 
Utaangalia mwenyewe ssa,ila kama huko alikoenda walimkoa fresh baasi tambua hawezi acha kamwe
Mkisharudiana ataacha kwa muda huku analinganisha ladha then unakuja mwendelezo ambao ukija gundua,Nakuona kwenye nondo au kaburini.

Acha kumpoteza jamaa, hapo yeye akaze hakuna kubembeleza mtu ameenda kugongesha mpaka umejua si dharau hizo. Mie sinaga msamaha hata nimemcheat mara 1000. Kila mtu huwa anacheat ila suala ni kwamba Fanya kwa siri nisijue tofauti na hapo kibarua kitaota nyasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…