Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Ngoja nianza kuula ujana maana ndo kwanza nna 30s

Kula maisha Mkuu,Jambo nataka kukukumbusha tu ni kwamba kama utapenda mtu mpende ila usimuamini na kujidumbukiza mwili mzima. Watu tupo kwenye mahusiano kwa Mguu tu kiwili wili chote kiko Nje.
 
Aisee we ni fara Sana na utateseka sana, mwanaume unakiri kabisa eti kweli nilisex?senge Sana we jamaa
 
Kula maisha Mkuu,Jambo nataka kukukumbusha tu ni kwamba kama utapenda mtu mpende ila usimuamini na kujidumbukiza mwili mzima. Watu tupo kwenye mahusiano kwa Mguu tu kiwili wili chote kiko Nje.
TATIZO nilikua mshamba wa mapenzi
 
Ukitoa nafasi ya umama (kuzaa) alichobakiza ni sex tuu ndo naimiss.... Vingine vyoote alishapoteza maana hata malezi alikua Hana kwa watoto.
Let's wait mda uamue
Kumbe pamoja na tunda kumegwa bado unalihitaji hilohilo?,basi achana na talaka mi nkajua unapata hadi kinyaa kumgusa
 
Hakyanani hii hii kali ya mwaka [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
 
Mkuu nyuma ya keyboard lazima useme hivi njoo kwenye uhalisia sasa..

Si ajabu unatambaaga ukienda kuomba msamaha, mapenzi hayana adabu[emoji848]
 
Yaani kama kunisaliti anisaliti tu, Haijalishi mimi nimemsaliti mara ngapi. Ila nisijue, that’s it. Siwezi kusamehe mtu nimemkamata red handed.

Code: Cheat unavyojua ila usikamatwe.
Utaachaje kukamatwa sasa mkuu...kudakwa muhimu ili kukamilisha maandiko[emoji848][emoji848]
 
Nyie wote ni wazinzi, hakuna mwenye afadhali hapo [emoji23]. Sameheaneni tu mulee hao watoto wenu
Unajua wanaume wa humu jf wanapenda kulia lia sana ...

Laiti tungeujua ukweli, other side ungeshika tama kwa mshangao[emoji849][emoji849]
 
Really sorry about that.

Do speak to your heart and forgive.

Sometimes the strength of a man is measured by his ability to forgive and make amends.

You could see a counselor and he will try to make things work out between the two of you.
 
Utaangalia mwenyewe ssa,ila kama huko alikoenda walimkoa fresh baasi tambua hawezi acha kamwe
Mkisharudiana ataacha kwa muda huku analinganisha ladha then unakuja mwendelezo ambao ukija gundua,Nakuona kwenye nondo au kaburini.
Very well explained [emoji122][emoji122][emoji122]
Hizi ndo point/ madini sasa humu jf

Mkuu unawajua vizuri wanawake
 
Wewe jamaa ni amfifiro

Yaani unafanya decisions hujui concenquences zake ni lazima uvumilie?

Kama ulikua hujui haya yatafuata basi utakua na IQ ndogo sana
Mbona amfifiro[emoji16][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]
 
Utaachaje kukamatwa sasa mkuu...kudakwa muhimu ili kukamilisha maandiko[emoji848][emoji848]

Mkuu hiyo ni bahati kama Bahati zingine, Kama ni Bahati yako kukamatwa utakamatwa tu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…