Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Kwanini usijishushe kuomba msamaha mkuu mkaendelea nae tu ..

Inaonekana umeingia uwanjani kucheza ligi kuu (ndoa)bila kucheza ndondo cup(kula ujana na kupitapita na wanawake kuwajua)...
Mkuu,
yani kuchepuka achepuke mke wake,
then jamaa aombe msamaha,
daaaH!
Jamani acheni utani bana.

Mkuu jaribu ku imagine kwamba ungeishi vipi nawanao kama angekua Kafariki.

kama ungeweza, then ata saizi unaweza mkuu,
Sikushauri urudiane nae aisee,

Pagumu mwanzoni, but trust me yatakwisha hayo na utaizoea tuu io hali yasasa...

Kuhusu kuoa mke mwingine Sikushauri,
au vuta mdaa kdg,
walau mwaka 1 au 2,
nauwe umejiridhisha kwamba ataweza tunza wanao,

ila kama wawapenda sana wanao na waitaji uishi nao wewe mda wote
then don't Marry boss.
.
 
Kwa hizi akili zako ukirudiana naye tutasikia jamaa kamchoma mkewe na magu ia ya mkaa....tafuta michepuko utamsahauu
 
Nakupongeza sana kwa kuwa na moyo wa kuvumilia kiasi hicho maana wengine inashindikana
Kuna mkuu aliosema apo juu nkamuelewa kuwa nyie uwa mnaumia sana kusalitiwa sababu mnajitoa sana unamuhudumia mke unamsomesha una mpa kila kitu apo ndo maumiv yanapoanzia tofauti na sisi
 
Kuna mkuu aliosema apo juu nkamuelewa kuwa nyie uwa mnaumia sana kusalitiwa sababu mnajitoa sana unamuhudumia mke unamsomesha una mpa kila kitu apo ndo maumiv yanapoanzia tofauti na sisi
Ni kweli lakini nadhani ni asili yetu pia i.e uumbaji. Tazama kuku jogoo huwa hataki jogoo mwingine awapande tetea usipokuwa wapandwe na yeye tu. Halikadhalika kwa wanyama wengine siku zote dume hupigana na dume mwenzie kwasababu ya majike jambo ambalo linadhihirisha tabia ya maumivu yatokanayo na wivu wa kimapenzi. Lakini ni mara chache / nadra sana kuona tetea wakipigana wao kwa wao kwasababu ya jogoo.
 
Dah mi sijammis ex wangu ila alinambia itakua ngumu mimi kupata mpenzi na kweli mpaka dk hii bado nasuffer nakaribia mwaka
🤣🤣 Kweli Mzee hata Mimi naona si rahisi hasa ukiwa ulipenda kweli
 
Dah mi sijammis ex wangu ila alinambia itakua ngumu mimi kupata mpenzi na kweli mpaka dk hii bado nasuffer nakaribia mwaka
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dhaaaaa aiseee

Alaf hii hua kweli yani cjui nini hua inafanyika
Yani wakishasema
 
Wewe jamaa ni amfifiro

Yaani unafanya decisions hujui concenquences zake ni lazima uvumilie?

Kama ulikua hujui haya yatafuata basi utakua na IQ ndogo sana
Nikiumia nisiseme?? Maumivu lazima kikibwa msimamo
 
Hujui Kama kuzungumza nikupunguza maumivu??? Hii ni njia yangu moja wapo yakunisaidia.

Ka vip unapita kushoto sio lazima ku comment kwani si hatujuani??
 
Mkuu inabidi umuone mtaalamu wa saikolojia, lasivyo yasije kuwa mengine
 
Sasa haya maumivu nafanyaje?
Utasahau narudia tena utasahau

Yalishanikuta we acha tu nilikuwa nalia ka mtoto mwanamke hanielewi kbs ananijbu hovyo mara nkipga cm ampe rafk yake ndo anapokea ananijbu we nani umekosea namba au akipokea yeye ananifokea ka mtoto nakumbuka mara ya mwsho alinpgia nikawa nambembeleza akanijibu hovyo aisee nilimkalipia nikamwambia usrudie tena kunifokea vingnevyo nikikupata takuua kbs maana nilikuwa naumia sn kazn mpk natega nasngzia naumwa na hapo alikuwa amenikosea yeye

Hakuwa mzuri sn wala hakuwa na tako lolote ila alikuwa kitandan vzuri sn aisee sjawai ona kbs mdada alikuwa ananipenda na anajua kutmbana htr ndo mara ya kwanza ku experience kwamba mwanamke anaweza kojoa hata mara 5 we hata hujakojoa bao la kwanza

Pili alikuwa anajua kupka hatari aisee
Tatu alikuwa msafi sn
Nne kama sina alikuwa hana shda kbs hata njaa tutalala

Mungu ambariki sn yule mnyiramba angel M. Toka iguguno.
 
Nafikiri ni bora umwite arudi nyumbani mlee watoto pamoja ila mtengane vyumba. Siku ukiamua kurudisha moyo nyuma mtarudiana. Kwa sabb km huwezi kufanya kwa ajili yako basi fanya kwa ajili ya watoto.
 
Nafikiri ni bora umwite arudi nyumbani mlee watoto pamoja ila mtengane vyumba. Siku ukiamua kurudisha moyo nyuma mtarudiana. Kwa sabb km huwezi kufanya kwa ajili yako basi fanya kwa ajili ya watoto.
We lazma watafunane eti utengane room na mtu mlishavuana chupi weee
Niliwahi fanya hayo bt nikiwa na nyege namuita tunapga game kali ksha anarud huko room nyngn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…