Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Kumbe na we ulimsaliti?!
Sasa ngoma droo kwanini mnaachana?
 
Mkuu,humu huwezi kupata majibu mazuri,zaidi utaongeza stress tu.

Mapenzi bwana!!!

Cha muhimu ni kwamba kaa,tulia,waza,fikiria mara mbili,kwakuwa inaonekana unampenda mkeo fanya mpango arudi maisha yaendelee.

Jeuri ya kumpa talaka mwanamke inaanzia hapa,

1.Your life style,una mkwanja wa kutosha?

2.replacement kabla ya uamuzi wako wa kum divorce mkeo.


Relax mkuu,mbona kawaida tu Mimi nipo hapa nasikiliza wimbo wa Darasa _royalty
 
Kua mvumilivu lkn ulichofikilia ni kizuri kama kuna sehem unaweza kuwapeleka watoto wapeleke na nenda kapange toa kbs maeneo yatakayokufanya umkumbuke!! Sio kazi ndogo kuachana na man watoto lkn kumrudia mtu aliekusaliti hilo BIG NO! Move on bro! Ni maumivu lkn yatakwisha Mungu katuumba binadamu kusahau utasahau
 
Point madhubuti sana hii
 
Ukweli mawaZo yote ni mazuri tatizo maamuzi Mungu anisaidie
 
Pole Sana na msamehe mlee wanenu hakuna mkamilifu chini ya jua.Msamehe
 
Kweli bro hela Sina na imekata kabisaa nadhani ningekua nayo nisingelie Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…