Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
Kumbe na we ulimsaliti?!
Sasa ngoma droo kwanini mnaachana?
 
Mkuu,humu huwezi kupata majibu mazuri,zaidi utaongeza stress tu.

Mapenzi bwana!!!

Cha muhimu ni kwamba kaa,tulia,waza,fikiria mara mbili,kwakuwa inaonekana unampenda mkeo fanya mpango arudi maisha yaendelee.

Jeuri ya kumpa talaka mwanamke inaanzia hapa,

1.Your life style,una mkwanja wa kutosha?

2.replacement kabla ya uamuzi wako wa kum divorce mkeo.


Relax mkuu,mbona kawaida tu Mimi nipo hapa nasikiliza wimbo wa Darasa _royalty
 
Kua mvumilivu lkn ulichofikilia ni kizuri kama kuna sehem unaweza kuwapeleka watoto wapeleke na nenda kapange toa kbs maeneo yatakayokufanya umkumbuke!! Sio kazi ndogo kuachana na man watoto lkn kumrudia mtu aliekusaliti hilo BIG NO! Move on bro! Ni maumivu lkn yatakwisha Mungu katuumba binadamu kusahau utasahau
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Point madhubuti sana hii
 
Kua mvumilivu lkn ulichofikilia ni kizuri kama kuna sehem unaweza kuwapeleka watoto wapeleke na nenda kapange toa kbs maeneo yatakayokufanya umkumbuke!! Sio kazi ndogo kuachana na man watoto lkn kumrudia mtu aliekusaliti hilo BIG NO! Move on bro! Ni maumivu lkn yatakwisha Mungu katuumba binadamu kusahau utasahau
Ukweli mawaZo yote ni mazuri tatizo maamuzi Mungu anisaidie
 
Habari,

Kwa maskitiko makubwa baada ya kugundua mke Wang anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.

Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years).

Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.

Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke nnaopata Hadi nakonda na hamu ya kula inaisha.

Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli💘. Nahisi
Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana na teseka

nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi Kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia .

Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)

Separation sijambo rahisi wazee Kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late.

I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili take.

Usiombe
Pole Sana na msamehe mlee wanenu hakuna mkamilifu chini ya jua.Msamehe
 
Huna pesa ndio mana unambwelambwela uonewe huruma, ungekua na pesa chafu usingekua na huuu muda wa kulialia kummisi mwanamke, ungekua unammisi mama yako mzazi ingekua vyema lakini mwanamke mmekutana tu na mmeoana sijui unaanza kulia lia , hua nakwazika sana na wanaume wa sampuli yako, embu badilikeni, tafuta pesa, watunze wazazi wako kama wapo, full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli bro hela Sina na imekata kabisaa nadhani ningekua nayo nisingelie Mzee
 
Back
Top Bottom