Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Angekuwa anajutia Mkuu asingeondoka haraka haraka na kuwaacha mume na watoto wake angejaribu sana kutafuta suluhisho.

Yeye anajutia? au ndio kanogewa na kitOmbo Cha nje ya ndoa yake?
 
Asa huyu fala kweli kamwambiaje demu kuwa aligonga nje? Sindio maan mwanamke nae kamlipizia
Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
 
Hata ukipiga nje na akajua Kuna njia za kumuonyesha umekosea lakini siyo ku surrender title yako kwa kupiga magoti kwa mwanamke. Hicho kitu kinamadhara makubwa kwenye fikra ya mwanamke, anajihisi kakumiliki na huna Cha kumfanya.
Bro usikuze Mambo nilichofanya nikuomba msamaha tuu si kupiga magoti
 
Nikushauri au tuendelee na lile battle la juzi?
πŸ˜‚

Jokes aside bana!
Naelewa unavyojiskia.
Mapenzi yanauma, sio kuwa hutapata mwingine but kuna vitu vilishajikita kwa mtu fulani.

Take Time brother!
Jipe muda wa kuheal, usizuie maumivu usijipe umwamba.
Hisia hazina mbabe.

Una watoto wa kuwalea after all of this saga.
Na kimsingi hujakosea wala nn!
Mapenzi huisha, na yakiisha ni kujidanganya kusema tukae tuu.

U too needed that divorce, maana pa kuanza kumfikiria kama chanzo cha jela.
Means kulikuwa na hatari ya kifo.
Sasa ya nn?
Kwann mfukishane hapo!

So yes, kupelema watoto kwa bibi laweza kuwa suluhisho lakini lisiwe na kudumu.
Yu need a reason to live
You need a reason to get home early
You need a reason not to be a player
You need a reason to pray
You need a reason to smile
You need a reason to love and be loved
Yote hayo unayapata kwa watoto wako.

Take time, bond nao, wajue,jua Mivhezo yao, jua routine zao.
Mtaishi tu fresh.
Af hata usikimbilie new partner, ngumu sana kutaka mtu mwingine awajue watoto wako kabla hujawajua wewe.
Utalazimika kuwajua kupitia mtizamo wake.
Which is very risky sometimes.

Kubwa katika yote,sali aseeeh!
Mwisho wa siku , Mungu ndo anapanga na kujua yetu yote kabla hatujazaliwa.

So bless up!
Live
Love
Laugh
Sending you hugs.

Na ulivonichamba juzi fresh tu, ntakunyoosha siku nyingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka huyu mwanamke wako wa ngapi kuwa nae toka umepevuka? Tuanzie hapo
 
Ungejua jinsi Mambo yalivyo bro iokitu ni ngumu saana
Nikwambie kitu.

Mambo hayatakuwa rahisi hadi siku utakapoamua kuyafanya yawe rahisi. Hivi Mimi huwa najiuliza sana, assume ungekuwa wewe ndio Mungu kuna kiumbe angekaa awe na matumaini ya kuuona ufalme wa Mungu kweli kwa kisirani kama hicho?

Halafu nafikiri umri pia labda unakutesa, ukiwa mtu mzima hutoona ugumu sana
 
Mmmh sio kweli [emoji848]
 
Ndugu naku follow leo, much love!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…