Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Ni mijanaume ya kitanzania ndo ina mentality hiyo...lkn one day wanawake tutaamka na huo ndo utakuwa mwisho wa wanaume wanyanyasaji[emoji848]
 
Mrudie mkeo hata yeye kule anapata wakati mgumu kama anaomba radhi mwite bali usioneshe kama unamhitaji
 
Mkuu mbona kama una mkemea [emoji23]
 
Mmh kirahisi rahisi hivo?[emoji1787][emoji1787]
 
Mmmh!! Hizo paragraph mbili za mwisho zina ujumbe mzito sana!!
 
Baba jayaron wewe ulimpenda sana huyo mwanamke kuliko alivokupenda wewe. Huo ndio ukweli inaonekana ulikua unafanya jitihada kubwa kumridhisha yeye si ajabu yeye hakua na jitihada za ivo.

Hapo juu umesema alikuuliza iwapo ulichepuka kipindi umesafiri, wewe ukatembelea magoti kabisaaa wakati ushahidi hana. Aisee sasa kwa hali hiyo ndgu yangu yangu hata mwanamke si anakuona ni zuzu.

Kakosea anaacha kuomba msamaha et mbona na wewe ulichepuka, daah mzee kiukweli hapo wewe ulipenda ila sidhani kama ulipendwa.
 
Baba hii kitu ata yeye anajua na nilisha OMBA msamaha Wala si siri

Men can’t withstand the same pain they have caused to women. Ulisaliti ukaomba msamaha yakaisha, amesaliti anaomba msamaha hutaki kumsamehe [emoji848]
 
Sijasoma yote ila wewe huenda ndio chanzo cha yeye kuwa na mahusiano mengine

Men can’t withstand the same pain they have caused to women. He cheated in the first place, kachitiwa yeye kaumia mnooo. Yani pa kwake panauma alivyochitiwa, ila pa mwenzake hapaumi akichitiwa. Akichiti yeye asamehewe kiroho safi, akichitiwa yeye kusamehe hapana.
 
Ni kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??

#chanzo Mimi simtimizii nahitaji yake yooote
Basi achaneni wenzio wakusaidie kumtimizia hayo majukumu yote...

Maana imeandikwa, aziniye na mwanamke hana akili kabisaaaa (yaani zero brain bichwa dafu)...lakini haijaandikwa juu ya akili ya aziniye na mwanaume
 
Pole sana mkuu,
Naelewa unapitia kipind kigum sana, bila shaka na yeye huko anakumiss Sana TU.
 
Hii comment yako ilitakiwa iwe Uzi rasmi. umeongeA point[emoji106]
 
Yaani unamuacha mke kisa tu kachepuka!! Au kuna sababu nyingine? Hebu ukue huko ndoa hazivunjwi kwa sababu za kitoto namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…