Kwa hilo gubu la faza hausi ampe dogo tu hamna namna ๐น๐นHahaha.......kwahiyo hofu ni kwamba Dogo ataanza kuiba ili kuweza kupata wapenzi
Vipi lakini akiendelea kukaa humo humo ndani hatotamani kumwiba Shemeji yake? Manake upwiru atakuwa nao pale pale
Yaani bora akampangie Chumba tuKwa hilo gubu la faza hausi ampe dogo tu hamna namna ๐น๐น
Natamani arudi na mrejesho jinsi mkewe alivyomkarimu mpk kumpa kitoumboua sio kujichukulia maandazi tena.!!
yani atalia huyu!Na kama mnavyojua, Vijana wa miaka 20 hadi 27 wanavyokuwa wamoto
Watafanya hadi sisi Wanaume zao tuonekana hatuna nguvu, maana si huwa tunapiga kimoja chali
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คช๐คชHilo janamke lilirudi hapo kufuata msosi na hela tu hakuna lolote.
Wanawake ni walafi wa vyakula aisee sijapata ona!
Jitu lichoyo kama shetani hadi linaficha maugali kaaahh!!!
Sitaki kuishi na mtu mchoyo kabisa, hata mimi ningemfukuza aende akalime huko! Eboo!
Hahaha............ataishia kutukana matusi ya kimya kimya huko alipoyani atalia huyu!
Niko pale.
mwanamke aliyekujeruhi hem deal nae!Hilo janamke lilirudi hapo kufuata msosi na hela tu hakuna lolote.
Wanawake ni walafi wa vyakula aisee sijapata ona!
Jitu lichoyo kama shetani hadi linaficha maugali kaaahh!!!
Sitaki kuishi na mtu mchoyo kabisa, hata mimi ningemfukuza aende akalime huko! Eboo!
we mwache.Hahaha............ataishia kutukana matusi ya kimya kimya huko alipo
Huyu kaka inaonekana hata nyama anahesabu kwenye chungu, muda wa kufatilia yote hayo anatoa wapi??Yaani bora akampangie Chumba tu
Akiendelea kukaa naye ndani, na jinsi Hawa wake zetu walivyo dhaifu hawakawii kumpa yote
Mwanaume akiwa na gubu, hakiiiiii.Huyu kaka inaonekana hata nyama anahesabu kwenye chungu, muda wa kufatilia yote hayo anatoa wapi??
Kuna wanaume ni kwikwi aiseee.!!
Wamekutana zimwi na kibarabara ๐น๐นMwanaume akiwa na gubu, hakiiiiii.
Na hiyo nyumba wamekutana.
Mume na mke wote wana gubu na roho ndogo.
Nawaza tu wanavyoishi kindezi humo ndani!
yaniiii!Wamekutana zimwi na kibarabara ๐น๐น
Kwanza mtoto wa dada sio ndugu yakoDogo ni mtoto wa dada yangu mkuu sijamuajir tunapiga kaz apa salon nimempa kitu na mashine tujenge uchumi naye apate ya sabuni
We umekulia nyumba yenye wanawake watupu ?Heshima sio lazima magoti na kuchota maji. Shemeji wanalingana umri na watoto waliopo ndani ya nyumba ambao kazi wanapangiwa kujaza maji ndani. Kwa malezi sawa ya wote hizo ni kazi za kawaida ndani ya nyumba yao.
Angalizo, huhitaji lugha kali ku drive a point home
Dharau inatokea wapi sasa?. Yaan mkeo kumuandalia mdogo wako wa kiume ni dharau?. Aisee ndio nimeona leo, uzuri Mimi nilikulia na kusomea kwa kaka yangu form one mpaka form four, shemeji alikua ananiandalia chakula na wakati mwingine hata kunifulia. Leo hii hapa nilipo si haba, nikiwa naenda nyumbani likizo lazima nipite na kwa brother wangu, siwezi acha mpelekea shemeji zawadi kwa namna nilivyo ishi nae.Ila kumuandalia chakula dogo ni dharau ilo nakataa ila mengine mkeo ana makosa ila kumuandalia chakula no
Acheni hizo mambo, nyie mnawaandalia shemeji zenu bila tabu yeyote mkija huku mitandaoni mnajifanya hamuwajali.Si umuandalie wewe hayo maandazi, kweli kupatwa kwa faza hausi huku ๐น๐น๐น