Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Hahaha.......kwahiyo hofu ni kwamba Dogo ataanza kuiba ili kuweza kupata wapenzi

Vipi lakini akiendelea kukaa humo humo ndani hatotamani kumwiba Shemeji yake? Manake upwiru atakuwa nao pale pale
Kwa hilo gubu la faza hausi ampe dogo tu hamna namna 😹😹
Natamani arudi na mrejesho jinsi mkewe alivyomkarimu mpk kumpa kitoumboua sio kujichukulia maandazi tena.!!
 
Kwa hilo gubu la faza hausi ampe dogo tu hamna namna 😹😹
Natamani arudi na mrejesho jinsi mkewe alivyomkarimu mpk kumpa kitoumboua sio kujichukulia maandazi tena.!!
Yaani bora akampangie Chumba tu

Akiendelea kukaa naye ndani, na jinsi Hawa wake zetu walivyo dhaifu hawakawii kumpa yote
 
Hilo janamke lilirudi hapo kufuata msosi na hela tu hakuna lolote.

Wanawake ni walafi wa vyakula aisee sijapata ona!

Jitu lichoyo kama shetani hadi linaficha maugali kaaahh!!!

Sitaki kuishi na mtu mchoyo kabisa, hata mimi ningemfukuza aende akalime huko! Eboo!
🤣🤣🤣🤣🤪🤪
 
mwanamke aliyekujeruhi hem deal nae!
Utamtukana mamako mzazi bure kisa anavaa sidiria , we haya!
 
Aisee mpangishie dogo geto huyo shetani unayemuita mke atamsumbua sana dogo
 
Yaani bora akampangie Chumba tu

Akiendelea kukaa naye ndani, na jinsi Hawa wake zetu walivyo dhaifu hawakawii kumpa yote
Huyu kaka inaonekana hata nyama anahesabu kwenye chungu, muda wa kufatilia yote hayo anatoa wapi??

Kuna wanaume ni kwikwi aiseee.!!
 
Huyu kaka inaonekana hata nyama anahesabu kwenye chungu, muda wa kufatilia yote hayo anatoa wapi??

Kuna wanaume ni kwikwi aiseee.!!
Mwanaume akiwa na gubu, hakiiiiii.
Na hiyo nyumba wamekutana.
Mume na mke wote wana gubu na roho ndogo.

Nawaza tu wanavyoishi kindezi humo ndani!
 
Mwanaume akiwa na gubu, hakiiiiii.
Na hiyo nyumba wamekutana.
Mume na mke wote wana gubu na roho ndogo.

Nawaza tu wanavyoishi kindezi humo ndani!
Wamekutana zimwi na kibarabara 😹😹
 
Ulimshirisha mkeo kwamba una mleta dogo?
Fahamu hiyo ni tabia ya wanawake wengi!
 
Heshima sio lazima magoti na kuchota maji. Shemeji wanalingana umri na watoto waliopo ndani ya nyumba ambao kazi wanapangiwa kujaza maji ndani. Kwa malezi sawa ya wote hizo ni kazi za kawaida ndani ya nyumba yao.
Angalizo, huhitaji lugha kali ku drive a point home
We umekulia nyumba yenye wanawake watupu ?
 
Piga puxmbu vizuri zinapunguza hasira.
Nyege ni adui namba 4 wa taifa.
 
Ila kumuandalia chakula dogo ni dharau ilo nakataa ila mengine mkeo ana makosa ila kumuandalia chakula no
Dharau inatokea wapi sasa?. Yaan mkeo kumuandalia mdogo wako wa kiume ni dharau?. Aisee ndio nimeona leo, uzuri Mimi nilikulia na kusomea kwa kaka yangu form one mpaka form four, shemeji alikua ananiandalia chakula na wakati mwingine hata kunifulia. Leo hii hapa nilipo si haba, nikiwa naenda nyumbani likizo lazima nipite na kwa brother wangu, siwezi acha mpelekea shemeji zawadi kwa namna nilivyo ishi nae.

Na namjli na kumuheshimu kama mlezi kwangu.

Nahata Mimi siwezi ruhusu mke wangu amdharau kwa namna yeyote ndugu yangu.
 
Si umuandalie wewe hayo maandazi, kweli kupatwa kwa faza hausi huku 😹😹😹
Acheni hizo mambo, nyie mnawaandalia shemeji zenu bila tabu yeyote mkija huku mitandaoni mnajifanya hamuwajali.
 
Back
Top Bottom