Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Kwa hilo gubu la faza hausi ampe dogo tu hamna namna 😹😹Hahaha.......kwahiyo hofu ni kwamba Dogo ataanza kuiba ili kuweza kupata wapenzi
Vipi lakini akiendelea kukaa humo humo ndani hatotamani kumwiba Shemeji yake? Manake upwiru atakuwa nao pale pale
Natamani arudi na mrejesho jinsi mkewe alivyomkarimu mpk kumpa kitoumboua sio kujichukulia maandazi tena.!!