Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

Basi jitahidi ndani ya miezi 3 uwe umemtafutia Chumba cha kupanga, Kuna Vyumba vinapangishwa Kwa shilingi 40,000 hadi 50,000

Ukiweza Fanya hivyo ili kumpa furaha Mke wako

Ndoa yako ikiwa na amani, hupelekea kukupa Utulivu Mwanaume

Lakini ikishaanza migogoro midogo midogo kama hiyo, inaweza kuwa ni tiketi ya kuanza kurudi nyumbani saa nane za Usiku
Mkuu, yaani afanye kumfurahisha mwanamke ambaye ameonesha wazi kabisa hapendi ndugu wa mmewe!!?
Nani atawaza kusogea hapo kwake miongoni mwa ndugu zake!!?
Mwanamke siyo ndugu yako aisee, akiamua kukuacha anakuacha na ulishakosana na ndugu zako kwa sababu yake..
Heshima kwako mkuu mleta uzi, umeshaoneshwa una mke wa aina gani. Ongeza umakini vinginevyo wewe au mpwa au wote kwa pamoja mnaweza kukinywea kikombe cha hasira yake.
 
Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri,

Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie tena.

Majuzi nimemnunulia dogo shati nikasikia anaongea "eeh nguo mnajinunulia tu wenyewe" . nikamwambia we sijakununulia majuzi tu. jibu lake "hata kama"

Visirani visivyokoma utakuta siku mbili kafunga uso.

Hana akili aisee, dogo anatuingizia hela kila siku hesabu kutoka salon anashindwa kujua hilo. ujinga tu hawa watu.
huyo mtoto aliemaliza form iv ndio mkeo.amuandalie chakula? are you serious? si kijana kabisa huyo? alipokua mgeni ndio ilikua anaandaliwa, but now ni mwenyeji, hata kuosha vyombo anaweza, hebu acha kumfanya mkeo ajihisi ameolewa na wanaume wawili, yena na hako katoto,kua na adabu kwa mkeo mkuu[emoji34]
 
Labd
Naunga mkono hoja yako

Huwezi mleta mdogo wako af utake asifanye chochote hasa ha watoto wakiume hawa hizi ni lawama kabisa kwangu mgeni wa kiume kama hana msaada wowote atakaa siku tatu tu kesi najua zitakuwa nyingi toto linalala mpaka saa nne wewe mwenye nyumba umeamka una angaika na fagio kusafisha uwanja NO
Labda hujamwelewa mleta uzi mkuu, hebu rudia kumsoma.
 
huyo mtoto aliemaliza form iv ndio mkeo.amuandalie chakula? are you serious? si kijana kabisa huyo? alipokua mgeni ndio ilikua anaandaliwa, but now ni mwenyeji, hata kuosha vyombo anaweza, hebu acha kumfanya mkeo ajihisi ameolewa na wanaume wawili, yena na hako katoto,kua na adabu kwa mkeo mkuu[emoji34]
Hivi wanawake wa aine yenu mtaolewa na nani?
 
Mkuu, yaani afanye kumfurahisha mwanamke ambaye ameonesha wazi kabisa hapendi ndugu wa mmewe!!?
Nani atawaza kusogea hapo kwake miongoni mwa ndugu zake!!?
Mwanamke siyo ndugu yako aisee, akiamua kukuacha anakuacha na ulishakosana na ndugu zako kwa sababu yake..
Heshima kwako mkuu mleta uzi, umeshaoneshwa una mke wa aina gani. Ongeza umakini vinginevyo wewe au mpwa au wote kwa pamoja mnaweza kukinywea kikombe cha hasira yake.
Ila mimi naona kosa la mke wake moja tu wivu ila swala la kijana kuandaliwa chakula iyo haipo sawa kaka na sijaona shida ya kufanya ndoa kuyumba ni swala la muda kuongea na mke wetu waelimishane in good way
 
Afu ukiongea lawama "wabinafsi" hampendi ndugu.....aaaahhh humamaamay!!!! (Kwa lafudhi ya kimasai)
Kweli kuna vitu vya kuongea labda dogo akinyimwa chakula au kafukuzwa pasipo wewe kujua hapo sawa ila kwa jambo la mtoa mada ni kuendekeza ujinga
 
Labd

Labda hujamwelewa mleta uzi mkuu, hebu rudia kumsoma.
Nimemuelewa sana ishu nayo iona hapo ni mke kununa kisa kununuliwa nguo dogo ila ilo la kumuandalia chakula dogo kama father house hapana siafiki
 
Acha iwe ubinafsi kila mtu atulie kwake jamani waafrica matatizo yetu ni mengi mno braza sasa tukifatana tunazidi kuongeza matatizo
Jamani jamaa kasema alimfata dogo kampa na kakijiwe kanakoongeza kipato ndani but wife wake ndo anaonesha kutompa umuhimu dogo.
 
Jamani jamaa kasema alimfata dogo kampa na kakijiwe kanakoongeza kipato ndani but wife wake ndo anaonesha kutompa umuhimu dogo.
Kwahiyo umuhimu ni wife kumuandalia chakula?? Huyo ni husband 2 au???
 
Nimemuelewa sana ishu nayo iona hapo ni mke kununa kisa kununuliwa nguo dogo ila ilo la kumuandalia chakula dogo kama father house hapana siafiki
Me nadhani chakula ni suala la kiutaratibu au kidesturi tu.
Kama dogo hana mazoea ya kuingiaingia jikoni ni kama kumpa heshima mother house ili aandae na kupangilia mlo kwa uhuru. Sioni ubaya kumwandalia chakula dogo mezani na kumkaribisha, vinginevyo motherhouse aweza kumpa uhuru dogo aingie mwenyewe jikoni ajisavie atakavyo.
 
Kwahiyo umuhimu ni wife kumuandalia chakula?? Huyo ni husband 2 au???
Kama anaona atampa heshima mno isiyomstahili kumwandalia bas ampe uhuru wa kujipakulia atakavyo na siyo kumwamuru ashikilie mkononi, hiyo ni roho mbaya dadaang.
 
Acheni hizo mambo, nyie mnawaandalia shemeji zenu bila tabu yeyote mkija huku mitandaoni mnajifanya hamuwajali.
Mimi huyu? 😹😹
Kwanza wageni wakija kwangu nafurahi nimepata watu wa kunisadia kazi, mi miguu juu..!!
 
@dogouliyenunuliwashati Dogo kaza huku bro wako anakutafutia chumba. Alafu uache kushinda home sana, wape uhuru washkaji.
 
Back
Top Bottom