Nimemlipia mchepuko Kodi ya nyumba Mil 4.8 kwa mwaka, Mapenzi yameongezeka Mara mbili

Daaa nimekumbuka mdinyo. Tulivyoenda shamba aiseee ni mtamu balaaa😍
 
Mungu aturehemu.Sikulaumu mkuu ila nakuonea huruma sababu huenda huyo dada amekumezesha chip kutoka kwa wale waganga.So unaweza ukawa unaendeshwa kwa remote bila wewe kujua (artificial intelligence)
🀣🀣🀣🀣Daaah
 
Sawa jitape atakuja mhuni atakuja kupuga halafu anapewa pesa pia,kama zipo nyingi wekeza kwa familia yako hao wengine hawana shukrani
 
Afu wajamaa wa hivyo huwa wanaendeshwa sanaa na madem...nna jamaa angu nae kampangia dem..ila cha ajabu ni kama jama kawa underdog due hafurukuti...kuna muda hadi dem anampangia siku ya kuja kwake..kuna siku jamaa kajitoa ufahamu...kaenda bila taarifa na kukutana na mwamba mwngine....cha ajabu dem hata mlango hakumfungulia ...aliishia tu kupiga chabo dirishan na kuambiwa umekujaje bila taarifa?
 
Na ukirudi kwa mkeo , naye analeta wakulala mpaka Asubuhi wakusukumizia usingizi [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Na ukirudi kwa mkeo , naye analeta wakulala mpaka Asubuhi wakusukumizia usingizi [emoji12][emoji12][emoji12]

Ukiangalia hayo hutafanya kitu

Piga gharama unayolipia hotel halaf uone mjinga wewe au mm
 
Hongera mkuu, maana naona kabisa una zama dhambini na mshahara wa dhambi ni..............eheeeee hivo hivo japo umemalizia kimoyo moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mwanamke ni wa ajabu sana mm mwenyewe ni mchepuko wangu na kanambia hiyo hiyo hela na nimelipa. Kuanzia leo nakuachia mkuu asituchanganye!!
 
Hichi ndicho anachokitafuta mtoa mada. Unampangia malaya nyumba kodi ya laki 4 kwa mwezi like fuckinng serious???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…