Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.

Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.

Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ...
Kama ni mke mvumilie,kama ni mchumba tu piga chini.

Ila kama ni mke mchane aache hiyo roho kwa upande wake.

Ila kwa upande wao sasa rekebisha hiyo,uwe unamtumia mama yako fedha ili ajue yeye ananunua nini tena umtumie kimya kimya tu, huko sio kumuogopa mkeo bali ni kumaintain privacy kati yako na mama yako.

Why mke ajue unapomfanyia mama jambo?

Kwani kila unachomfanyia mkeo huwa unamhambia maa hako? Kama ni hapana basi maana yake unaheshimu privacy ya mkeo ndio maana ukimnunulia kitu unavunga.

Badi na ukimnunulia mama tulia usimuambie mkeo
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau...
Mkuu

Kamwe usipangiwe masuala ya ndani kwako na YEYOTE.

Jichunguze hasa kama KOSA ni wewe au mkeo,Nachoamini mwanamke anaishi vile unavomuanzishia MWANZONI.

Kama ulianza kwa kumonesha yeye ni BORA kuliko mama ako haya yanayoendelea ni matokeo ya muendelezo wa siku nyingi.

Kumbuka,Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kubadilika wewe.

Ni aidha ukubaliane na mkeo,Au jiongeze hatua za nini unapaswa kufanya ilihali bado mapema.

#Leo unashuhudia mama ako anasemwa vibaya na MKE hujui cha kufanya badala yake unakuja kuomba ushauri...
KUMBUKA ..Kuna siku utamtafuta huyo mama na kamwe hutomuona kwenye huu uso wa Dunia.

* Hujachelewa*
 
Piga chini huyo mkoloni...

Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
 
Sasa mkuu siungempa tu hela mkeo akamnunulia mama nguo yeye halafu wewe ukaangalia tu gharama ya nguo zinaendana ha hela ulompa?

Unawezaje kumnunulia mama yako nguo na mke unae, mimi nikimnunulia mama nguo labda vitenge, tofauti na hapo ntampa hela tu.
 
Mkuu, kudeal na wanawake inahitajika diplomasia zaidi kuliko nguvu.
 
Unakosea Sana kumnunulia nguo mama yako ,,

Wewe si mume wake kwamba unayajua mahitaji yake vizuri.

Wala mama yako sio mwanao.

Mpatie mama pesa aangalie vipaumbele vyake,, wala mkeo hapaswi kujua.
Mkuu zawadi kwa mama nidhambi
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Daah , the choice is yours...
 
Sasa mkuu siungempa tu hela mkeo akamnunulia mama nguo yeye halafu wewe ukaangalia tu gharama ya nguo zinaendana ha hela ulompa?

Unawezaje kumnunulia mama yako nguo na mke unae, mimi nikimnunulia mama nguo labda vitenge, tofauti na hapo ntampa hela tu.
Mkuu nlikua safar mama anakupigia sm kamchukulie kitu flani utaacha kumchukulia
 
Back
Top Bottom