Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Siku zake za mwishoni akiwa pale mbezi alipolalamikiwa suala la bei ya 500 kwenye choo cha stand akasema “ Kama hutaki kutoa 500 baki na mavi yako”...😜🤣
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Mvumilie tu mkuu, huyo ni wako ndiye mke ambaye Mungu amemuumba kwa ajili yako na akakukutanisha na kuwaunganisha muwe pamija.
Kama unaina kubinaadam amekosea basi wewe kuwa mpole, jishushe, mpigie magoti na umuombe msamaha na umuahidi kwamba hautarudia tena kumnunulia mama yako nguo. Ila wewe ukitaka kumnunulia tena mama uwe unafanya kwa siri...umesikia fala we, fanya nilichokushauri kenge wewe. Huwa mkibebishea mnajisahau sana na kukaribisha dharau halafu mnakuja mnalialia.
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Inasikitisha mno
 
Kama ni mke mvumilie,kama ni mchumba tu piga chini kumanina.

Ila kama ni mke mchane aache hiyo roho kwa upande wake.

Ila kwa upande wao sasa rekebisha hiyo,uwe unamtumia mama yako fedha ili ajue yeye ananunua nini tena umtumie kimya kimya tu,huko sio kumuogopa mkeo bali ni kumaintain privacy kati yako na mama yako.

Why mke ajue unapomfanyia mama jambo ?

Kwani kila unachomfanyia mkeo huwa unamhambia maa hako ? Kama ni hapana basi maana yake unaheshimu privacy ya mkeo ndio maana ukimnunulia kitu unavunga.

Badi na ukimnunulia mama tulia usimuambie mkeo
Mke namfanyia mambo makubwa kuliko mama yangu alafu Tena jambo dogo nataka kumfanyia mama nijifiche kisa mke na mke namfanyia mengi
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Litakuwa ni Kahaba la sisiemu
 
Kwanini unamnunulia Mama yako zawadi unamwambia mkeo? Kulikuwa na ulazima gani? Wewe ndio shida na utaiuwa ndoa yako! Kwanini huna kifua cha kutunza hata jambo dogo kama hilo mpaka umjuze mkeo au mkeo ajue? Kwa hiyo kila kitu unachomfanyia mama yako unamwambia mkeo?
Sasa mkuu mke nimemfanyia mengi mno kuliko hata mama yangu mzazi Sasa jambo dogo Hilo nilifanye kifiche chukulia mfano mke awe ametumia 20m alafu mama unataka atumie laki moja utafanya kwakujificha mke asijue Hali yakuwa yeye kashatumia vingi mno
 
Vitu vingine ukiwafanyia wazazi wako siyo lazima mke wako ajue fanya kimya kimya kuepusha migogoro midogo kama hiyo, ukiendekeza kila kitu ajue unakaribisha husda atakuuliza mbona wazazi wake huwafanyii.
Wazazi wako wafanyie wema kimya kimya , wazazi wake mpe hela ipitie kwake ndo awape.
 
Yupo kijana wangu ananipenda sana, naamini siku mke amfanyie ulichofanyiwa kuhusu mama mzazi itakuwa kesi.

Wanawake wengi hawapendi mama mkwe, hiyo ni nguo tu, siku ukimnunulia mama yako gari itakuwaje ?

Anyways, tumewakuza kwa shida sana, msitusahau.
 
Unayomfanyia mkeo huwa unamuambia mama yako ?

Kama haumuambii mama yako je ni kwa nini ya mama yako sasa umuambie mkeo ?

Zingatia privacy mzee.
Mkuu sikumwambia nikitu kaona kinapita kwaiyo vyake nivingi kuliko Iko kimoja kinachopitia akakiona
 
Kitendo Cha kuleta Jambo lako tu kwa mtandao jua huna maamuzi na huyo mke huna Cha kumfanya ..
Kuna pahala huko mwanzo ulikikosea kwa mkeo,Kuna katabia umekafuga..
Sema nini tumia akili yako mwenyewe kusolve mbona haka katatizo kadogo Sanaa.
 
Back
Top Bottom