Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Unakosea Sana kumnunulia nguo mama yako ,,

Wewe si mume wake kwamba unayajua mahitaji yake vizuri.

Wala mama yako sio mwanao.

Mpatie mama pesa aangalie vipaumbele vyake,, wala mkeo hapaswi kujua.
Ushauri mbovu huu. Yaani zawadi ya mama unipangiye
 
Kwa mara nyingine tena kikosi hatari kabisa cha vijana wanaounda timu KATAA NDOA wanajizolea point tatu bila kelele
 
Mpigie chini, unaishi na shetani hapo. Hajui mama yako hamjakitana barabani kama yeye.
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.

Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.

Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Kasome Mika 7:6
 
Hi
Aisee yaani bora ya ww, mm mama yangu anaumwa muda mrefu kwa hiyo ametoka mkoa kuja hapa mjini kwa ajili ya matibabu. Sasa tuna utaratibu familia huwa tunachanga kwa ajili ya matibabu yake, maana hiyo clinic yake anayo attend hawatumii bima kabisa. Cha kushangaza akiniomba hela labda nikamwambia sina au subiri siku kadhaa, anamind na anasema kwa hiyo hela zote ndiyo umemtibia mama yako, maana anajua mama yuko hapa kwangu na mm ndiyo natoa zaidi. Huwa ananiviruga sana yaani hajali hata afya ya mama mkwe wake, yeye anataka kutimiza mahitaji yake tu. Wake zetu ni tatizo kubwa
Hivi wanawake waliumbwaje. Mbona ni makatili kiasi hicho
 
Mkeo ana matatizo lakini pia wewe hukupaswa kumnunulia mama yako nguo wewe sio mume wa mama yako kama baba yako yupo hai ulipaswa umpe yeye hela ndo amnunulie mkewe next time hela zote unazotuma kwenu tuma kwa baba yako
 
Piga chini huyo mkeo,mie wangu nampa pesa na nina mweleza mnunulie mama nguo unazozijua wewe kama gauni na hata underwear ambazo mimi sitaili kuziona na kweli anatekeleza na akishanunua anazifunga hata mimi sizioni kwa heshima ya mama.
 
Mkeo ana matatizo lakini pia wewe hukupaswa kumnunulia mama yako nguo wewe sio mume wa mama yako kama baba yako yupo hai ulipaswa umpe yeye hela ndo amnunulie mkewe next time hela zote unazotuma kwenu tuma kwa baba yako
Heeeeee. Mbona Mimi namnunuliaga Suti baba yangu Na mama yupo kwani nikosa kumnunulia nguo mzazii au Kisa umeoa au kuolewa ndo usimnunulie Zawadi mzazi
 
Yupo kijana wangu ananipenda sana, naamini siku mke amfanyie ulichofanyiwa kuhusu mama mzazi itakuwa kesi.

Wanawake wengi hawapendi mama mkwe, hiyo ni nguo tu, siku ukimnunulia mama yako gari itakuwaje ?

Anyways, tumewakuza kwa shida sana, msitusahau.
Umefanya finishing mzuri Wewe Ni fundii 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom