safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mbona mama yako haoni hivyo vitu vikipita kwenda kwa mkeo ?Mkuu sikumwambia nikitu kaona kinapita kwaiyo vyake nivingi kuliko Iko kimoja kinachopitia akakiona
Maana yake umetoa huo mwanya wa mkeo kuona,lakini haukuwahi kufanya kosa la kutoa mwanya kwa mama ako aone vitu unavyompa mkeo.
Hapa katika hili hauna wa kumlaumu bhana,kubali kwamba kuna sehemu unatakiwa urekebishe kama mwanaume.
Cha mama ni cha mama,cha wife ni cha wife.