Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Mkuu sikumwambia nikitu kaona kinapita kwaiyo vyake nivingi kuliko Iko kimoja kinachopitia akakiona
Mbona mama yako haoni hivyo vitu vikipita kwenda kwa mkeo ?

Maana yake umetoa huo mwanya wa mkeo kuona,lakini haukuwahi kufanya kosa la kutoa mwanya kwa mama ako aone vitu unavyompa mkeo.

Hapa katika hili hauna wa kumlaumu bhana,kubali kwamba kuna sehemu unatakiwa urekebishe kama mwanaume.

Cha mama ni cha mama,cha wife ni cha wife.
 
Wanawake Wana kaufala flani ka kujiendekeza.

Wanalakulazimisha upende wakwe na ikiwezekana uwajengee kabisa.
Lakini kuwahudumia wasazi waliomzaa huyo "cash cow" ni nongwa!

Huyo mpuuzi usimchekee kabisa asipoelewa hilo piga chini!
 
Usipoteze muda kumsikiliza! Wanawake ni watu wa ajabu sana! Muulize kama ungekuwa umemnunulia Mama (Mamkwe wako) yangemtoka?
Fanya kama ulivyopanga.Wala usimrudishe kwao.
Atanuna,yatamtoka mwisho atakaa kimya!
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.

Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.

Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Mkeo ni m*eng*
 
Yupo kijana wangu ananipenda sana, naamini siku mke amfanyie ulichofanyiwa kuhusu mama mzazi itakuwa kesi.

Wanawake wengi hawapendi mama mkwe, hiyo ni nguo tu, siku ukimnunulia mama yako gari itakuwaje ?

Anyways, tumewakuza kwa shida sana, msitusahau.
Hapa umeongea kama mzazi bt ungeongea kama mke kauli ingebadilika.
 
Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Ana umri gani? Tuanzie hapo
 
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.

Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa.

Nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Hivi hao wake zenu mnawatoaga wapi?? 🤔🤔. Au Bar
 
Kuna ushauri mwingine wa ajabu sana,yaani mtu kumnunulia kitu iwe hayo mavazi au kitu kingine chochote mzazi wako eti ufanye siri mkeo asijue! Tatizo nini hadi iwe hivyo!
 
Aisee yaani bora ya ww, mm mama yangu anaumwa muda mrefu kwa hiyo ametoka mkoa kuja hapa mjini kwa ajili ya matibabu. Sasa tuna utaratibu familia huwa tunachanga kwa ajili ya matibabu yake, maana hiyo clinic yake anayo attend hawatumii bima kabisa. Cha kushangaza akiniomba hela labda nikamwambia sina au subiri siku kadhaa, anamind na anasema kwa hiyo hela zote ndiyo umemtibia mama yako, maana anajua mama yuko hapa kwangu na mm ndiyo natoa zaidi. Huwa ananiviruga sana yaani hajali hata afya ya mama mkwe wake, yeye anataka kutimiza mahitaji yake tu. Wake zetu ni tatizo kubwa
 
Usipoteze muda kumsikiliza! Wanawake ni watu wa ajabu sana! Muulize kama ungekuwa umemnunulia Mama (Mamkwe wako) yangemtoka?
Fanya kama ulivyopanga.Wala usimrudishe kwao.
Atanuna,yatamtoka mwisho atakaa kimya!
Nilipanga arudi kwao kwanza akapumzike
 
Niha
Aisee yaani bora ya ww, mm mama yangu anaumwa muda mrefu kwa hiyo ametoka mkoa kuja hapa mjini kwa ajili ya matibabu. Sasa tuna utaratibu familia huwa tunachanga kwa ajili ya matibabu yake, maana hiyo clinic yake anayo attend hawatumii bima kabisa. Cha kushangaza akiniomba hela labda nikamwambia sina au subiri siku kadhaa, anamind na anasema kwa hiyo hela zote ndiyo umemtibia mama yako, maana anajua mama yuko hapa kwangu na mm ndiyo natoa zaidi. Huwa ananiviruga sana yaani hajali hata afya ya mama mkwe wake, yeye anataka kutimiza mahitaji yake tu. Wake zetu ni tatizo kubwa
Ta

Hatar sana mkuu hapo ni roho mbaya na ubinafsi
 
Back
Top Bottom