malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Kama ni mke mvumilie,kama ni mchumba tu piga chini.Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ...
MkuuHabar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau...
Wanawake karibu wote wapo hivo, chakufanya kama mwanaume usimshirikishe mkeo mambo yahusuyo nduguzo/wazazi.Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa...
Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Sasa mkuu siungempa tu hela mkeo akamnunulia mama nguo yeye halafu wewe ukaangalia tu gharama ya nguo zinaendana ha hela ulompa?Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Mkuu, kudeal na wanawake inahitajika diplomasia zaidi kuliko nguvu.Mkuu
Kamwe usipangiwe masuala ya ndani kwako na YEYOTE.
Jichunguze hasa kama KOSA ni wewe au mkeo,Nachoamini mwanamke anaishi vile unavomuanzishia MWANZONI.
Kama ulianza kwa kumonesha yeye ni BORA kuliko mama ako haya yanayoendelea ni matokeo ya muendelezo wa siku nyingi.
Kumbuka,Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kubadilika wewe.
Ni aidha ukubaliane na mkeo,Au jiongeze hatua za nini unapaswa kufanya ilihali bado mapema.
#Leo unashuhudia mama ako anasemwa vibaya na MKE hujui cha kufanya badala yake unakuja kuomba ushauri...
KUMBUKA ..Kuna siku utamtafuta huyo mama na kamwe hutomuona kwenye huu uso wa Dunia.
* Hujachelewa*
Mkuu zawadi kwa mama nidhambiUnakosea Sana kumnunulia nguo mama yako ,,
Wewe si mume wake kwamba unayajua mahitaji yake vizuri.
Wala mama yako sio mwanao.
Mpatie mama pesa aangalie vipaumbele vyake,, wala mkeo hapaswi kujua.
Daah , the choice is yours...Habar wakuu huyu mke nimfanyaje...nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama...baada ya nguo alio taka nyingine kumwambia aachane nae yakamtoka maneno mengi Hali yakuwa yeye kashatumia mamilioni yangu mengi ktk mavazi na mama hii ninadra sana kumpa...nawaza naona hanifai kabisa kama pesa yangu mwenyewe kumnunulia mama yangu mzazi kwake mke kwake nongwa naona hanifai kabisa nimepanga kurudisha kwao
Mkuu nlikua safar mama anakupigia sm kamchukulie kitu flani utaacha kumchukuliaSasa mkuu siungempa tu hela mkeo akamnunulia mama nguo yeye halafu wewe ukaangalia tu gharama ya nguo zinaendana ha hela ulompa?
Unawezaje kumnunulia mama yako nguo na mke unae, mimi nikimnunulia mama nguo labda vitenge, tofauti na hapo ntampa hela tu.
Mkuu mke kashatumia Hela nyingi mno kulinganisha nanilichomnunulia mamaWanawake karibu wote wapo hivo, chakufanya kama mwanaume usimshirikishe mkeo mambo yahusuyo nduguzo/wazazi.
Kuna msemo unasema "mwanaume hatumwi mboga"Mkuu nlikua safar mama anakupigia sm kamchukulie kitu flani utaacha kumchukulia
Kwanini unamnunulia Mama yako zawadi unamwambia mkeo? Kulikuwa na ulazima gani? Wewe ndio shida na utaiuwa ndoa yako! Kwanini huna kifua cha kutunza hata jambo dogo kama hilo mpaka umjuze mkeo au mkeo ajue? Kwa hiyo kila kitu unachomfanyia mama yako unamwambia mkeo?Mkuu zawadi kwa mama nidhambi