Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Siku zake za mwishoni akiwa pale mbezi alipolalamikiwa suala la bei ya 500 kwenye choo cha stand akasema “ Kama hutaki kutoa 500 baki na mavi yako”...😜🤣
 
Mvumilie tu mkuu, huyo ni wako ndiye mke ambaye Mungu amemuumba kwa ajili yako na akakukutanisha na kuwaunganisha muwe pamija.
Kama unaina kubinaadam amekosea basi wewe kuwa mpole, jishushe, mpigie magoti na umuombe msamaha na umuahidi kwamba hautarudia tena kumnunulia mama yako nguo. Ila wewe ukitaka kumnunulia tena mama uwe unafanya kwa siri...umesikia fala we, fanya nilichokushauri kenge wewe. Huwa mkibebishea mnajisahau sana na kukaribisha dharau halafu mnakuja mnalialia.
 
Inasikitisha mno
 
Mke namfanyia mambo makubwa kuliko mama yangu alafu Tena jambo dogo nataka kumfanyia mama nijifiche kisa mke na mke namfanyia mengi
 
Litakuwa ni Kahaba la sisiemu
 
Sasa mkuu mke nimemfanyia mengi mno kuliko hata mama yangu mzazi Sasa jambo dogo Hilo nilifanye kifiche chukulia mfano mke awe ametumia 20m alafu mama unataka atumie laki moja utafanya kwakujificha mke asijue Hali yakuwa yeye kashatumia vingi mno
 
Vitu vingine ukiwafanyia wazazi wako siyo lazima mke wako ajue fanya kimya kimya kuepusha migogoro midogo kama hiyo, ukiendekeza kila kitu ajue unakaribisha husda atakuuliza mbona wazazi wake huwafanyii.
Wazazi wako wafanyie wema kimya kimya , wazazi wake mpe hela ipitie kwake ndo awape.
 
Yupo kijana wangu ananipenda sana, naamini siku mke amfanyie ulichofanyiwa kuhusu mama mzazi itakuwa kesi.

Wanawake wengi hawapendi mama mkwe, hiyo ni nguo tu, siku ukimnunulia mama yako gari itakuwaje ?

Anyways, tumewakuza kwa shida sana, msitusahau.
 
Unayomfanyia mkeo huwa unamuambia mama yako ?

Kama haumuambii mama yako je ni kwa nini ya mama yako sasa umuambie mkeo ?

Zingatia privacy mzee.
Mkuu sikumwambia nikitu kaona kinapita kwaiyo vyake nivingi kuliko Iko kimoja kinachopitia akakiona
 
Kitendo Cha kuleta Jambo lako tu kwa mtandao jua huna maamuzi na huyo mke huna Cha kumfanya ..
Kuna pahala huko mwanzo ulikikosea kwa mkeo,Kuna katabia umekafuga..
Sema nini tumia akili yako mwenyewe kusolve mbona haka katatizo kadogo Sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…