Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

Unakosea Sana kumnunulia nguo mama yako ,,

Wewe si mume wake kwamba unayajua mahitaji yake vizuri.

Wala mama yako sio mwanao.

Mpatie mama pesa aangalie vipaumbele vyake,, wala mkeo hapaswi kujua.
Ushauri mbovu huu. Yaani zawadi ya mama unipangiye
 
Kwa mara nyingine tena kikosi hatari kabisa cha vijana wanaounda timu KATAA NDOA wanajizolea point tatu bila kelele
 
Mpigie chini, unaishi na shetani hapo. Hajui mama yako hamjakitana barabani kama yeye.
 
Kasome Mika 7:6
 
Hi
Hivi wanawake waliumbwaje. Mbona ni makatili kiasi hicho
 
Mkeo ana matatizo lakini pia wewe hukupaswa kumnunulia mama yako nguo wewe sio mume wa mama yako kama baba yako yupo hai ulipaswa umpe yeye hela ndo amnunulie mkewe next time hela zote unazotuma kwenu tuma kwa baba yako
 
Piga chini huyo mkeo,mie wangu nampa pesa na nina mweleza mnunulie mama nguo unazozijua wewe kama gauni na hata underwear ambazo mimi sitaili kuziona na kweli anatekeleza na akishanunua anazifunga hata mimi sizioni kwa heshima ya mama.
 
Mkeo ana matatizo lakini pia wewe hukupaswa kumnunulia mama yako nguo wewe sio mume wa mama yako kama baba yako yupo hai ulipaswa umpe yeye hela ndo amnunulie mkewe next time hela zote unazotuma kwenu tuma kwa baba yako
Heeeeee. Mbona Mimi namnunuliaga Suti baba yangu Na mama yupo kwani nikosa kumnunulia nguo mzazii au Kisa umeoa au kuolewa ndo usimnunulie Zawadi mzazi
 
Umefanya finishing mzuri Wewe Ni fundii 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…