kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu, nikaenda safari nikarudi bila zawadi akanilaumu kwa nini sijamletea zawadi aliyoniagiza.
So baada ya kuona kero zimekua nyingi nikamuuliza unataka zawadi gani, akaniambia yoyote tu, mimi nikasema ngoja ninunue dozen ya chupi za kike nimpe, ebana nilivyomkabidhi manzi kapenda mno zawadi zangu akaniambia she appreciate sana zawadi zangu za chupi nilizompa.
Nimebaki dilemma kwamba kwani huyu hajawahi kupewa zawdi ya chupi hadi anisifie namna hiyo jamani?