Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

Punguza chai mkuu. Hakuna mke wa mtu mwenye wadhifa mkubwa serikalini anaishi nyumba ya kupanga.

Huo wadhifa labda sio mkubwa.
Wapo mkuu sio wote wamejenga kila mkoa. Mfano pale Dodoma wengi wanapanga baadae hujenga nyumba. Area D imepangisha sana watu wa aina hiyo. Kumbuka issue ya Mwenyekiti wa CDM kuvamiwa kwenye apartment wanayoishi pamoja na Mh Kitwanga. Wapo viongozi wengi wa taasisi za serikali wanapohamishiwa kikazi kwenye eneo fulani huwa hawana nyumba na hawajengi hata kama watakaa miaka mitatu.


Mfikirie manager wa TRA ambaye kila baada ya kipindi fulani anahamishwa, atakuwa na nyumba kila mkoa?
 
Na wewe siku mme wa huyo dada akikupa zawadi ya kitenge cha waksi uonyeshe kukikubali na kukifurahia sana na wala usirushe ngumi
 
Umeshawahi kumiliki demu au umeshawahi kuoa??? Endelea ujue uchungu wa kupigiwa .....shauri yako!
 
Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu, nikaenda safari nikarudi bila zawadi akanilaumu kwa nini sijamletea zawadi aliyoniagiza.

So baada ya kuona kero zimekua nyingi nikamuuliza unataka zawadi gani, akaniambia yoyote tu, mimi nikasema ngoja ninunue dozen ya chupi za kike nimpe, ebana nilivyomkabidhi manzi kapenda mno zawadi zangu akaniambia she appreciate sana zawadi zangu za chupi nilizompa.

Nimebaki dilemma kwamba kwani huyu hajawahi kupewa zawdi ya chupi hadi anisifie namna hiyo jamani?
Kula mzigo period.

Wengine hizo ni fantasy zao. Yaan kuna mamanzi wanaenjoy kununuliwa au kuchaguliwa nguo za ndani na wanaume, usikute mtoto wa watu kaenda room kalowa tepetepe hapo, siku nyingine kula mzigo.
 
Na mumewe siku atakapokuzawadia, uje utupe mrejesho😹😹😹
 
Back
Top Bottom