Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

Naona unajizima data makusudi...ila najua ushamtia huyo demu tayari,from no where tu umpe mtu zawadi ya chupi?
 
Mwambie unataka kuona zawadi zako zilivyompendeza.
 
Unaanzaje kumpa chupi mke wa mtu?
Ukifikia hatua hiyo Basi unamtaka siyo bure.
 
Hilo jiiicho hilo kwajina sitalitaja ukiona linakutuma kuonga wake za watu chupi ujue linakuwasha linataka kukunwa
 
Punguza chai mkuu. Hakuna mke wa mtu mwenye wadhifa mkubwa serikalini anaishi nyumba ya kupanga.

Huo wadhifa labda sio mkubwa.
Kama wana muda mfupi toka wahamie, hapo unasemaje
 
Unatakiwa umwambie unataka kuziona kama zinamtosha...
 
mle
 
kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ni mpangaji mwenzio au sio?
 
Reactions: Tui
Huo wadhfa alionao huko serikalini na bado anapanga nyumba ya kuwa karibu karibu hivyo na majirani kama nyie ana haki ya kulizwa. Sema kazana siku hizi hawaendi tena kwa waganga😂 mnamalizana
 
Nakuona umewaka tamaa kwa mke wa mtu.Hiyo ni dhambi ikimbie...UTAPAKWA MAFUTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…