Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

Maana 50K kila siku ni 1.5M siku 30.... Noma sana asee .... Tusije kukuona tu na wale jamaa wa kudili na madawa ya kulevya tukakupoteza Gerezaniooo.....
Halafu eti zinaingia hata kama umelala
 
Chai haijakolea viungo
Naona baadhi mnamponda mtoa mada, au mnaeza hisi hii ni chai, ila alichoandika mtoa mada kinaendana na ukweli kabisa, mtaani kuna wanawake wa ajabu sana, kuna mdada aliniomba hela siku mbili baada ya mshahara wake kutoka, imagine mshahara wangu na wake ni sawa, na before mm sikua bahili kwake, nlikuwa namtoa akikwama.

That day aliniomba ndo nlijua kweli hapa sina mchumba Carleen Joline
 
So alikuwa ni msebule sio mchumba....
 
Kashakufanya ww ni ATM 🏧 machines
 
kama anajua ku.tho.mbana hamna shida mbn
sio ukute mtu anakusumbua ivo hlf kitndan nako yuko doro analala km chatu mwitu au gogo pori
huo unakuw mtihani sn
 
Kama unaona tabu. Nipee namba yake niwenamtumuaa mahitaji ambayo wewe hupendi kumpa
 
Tunajua watu wa hivyo wapo. Poleni wanaume ndio maisha.
 
Ni mchongo gani huo mkuu utupe na sisi connection
 
mh kwa akili hizi hakuna kitu hapo....... zaidi linatafutwa jitu lipigwe kitu kizito.......

lipia tangazo
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…